Nasaha za Ndugai kwa Mawaziri: Pamoja na miradi mikubwa ila miradi midogo midogo ndio mkombozi wa Wananchi

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,035
6,907
Habari zenu wakuu.

Leo Bungeni wakati wa kuwaapisha wabunge wateule, alitoa Nasaha kwa Mawaziri wateule kwenye mambo ya biashara na masuala ya Tamisemi akisema pamoja na miradi mikubwa ila wazingatie miradi midogo midogo kama zahanati, madarasa, madawati na barabara.

Amesema hiyo miradi ndio roho ya Wananchi na watashukuru kwa hilo.

My take; Hii ni shift ya mtizamo kutoka kwenye miradi mikubwa ambayo ameitaja hadi kwenda kuweka nguvu kwenye miradi inayomsaidia mwananchi wa kawaida moja kwa moja almaarufu Mnyonge.
 
Back
Top Bottom