Nasaha za Grand Duke kwa Jamii na Serikali ya Tanzania

Gwanggaeto the Great

JF-Expert Member
Apr 14, 2018
817
1,772
Kwanza nitoe pole kwa Wahanga.
Naweza kusema kilichotokea ni matokeo ya ukosefu wa Ubinadamu, sasa hivi watanzania mioyo yetu ya ukarimu inaanza kutoweka taratibu, tunaanza kuthamini vitu, kuliko watu, tusidhani watu kuwa na mioyo kama ya huko Afghanistan inatokea ghafla bali huanza hatua kwa hatua kama vile jiwe(rock) liundwavyo, tusipokuwa makini ipo siku tutaanza kumimiana mitutu hapa. Sababu the sense of humanity itakuwa ishatoweka, huruma haitokuwepo ndani yetu tena, a person without humanity is like a beast( mnyama), ubinadamu ni Upendo, Heshima, kubeba matatizo ya wengine kama ya kwako( Huruma), hekima & Busara na mshikamano. Je hivyo vitu vipo katika matendo ya watu wanaokuzunguka?!. Mfano: 'juzi kuna mtu aligongwa na Gari lakini watu hawakuingia kwenye gari la mtu yule kwaajili ya kumsaidia bali walikuwa wanakwenda kuiba fedha alizokuwanazo mtu huyo kwenye Gari lake'.
Kwahiyo Jamii zetu zetu zinapaswa tambua people come first before anything, manmade zote ni zao la akili ya binadamu so why vitu hivyo tunavithaminisha kuliko binadamu hao?!, why mazao yawe na thamani kuliko mkulima?!,. Lazima tujiulize sana haya mambo na kufuata yaliyo sahihi, tusiruhusu tamaa kuushinda ubinadamu, we are to cultivate ourselves to the rightfulness. Naamini kama tungalienda kwenye eneo la tukio kwa ajili ya kutoa msaada kwa Imani Mungu angetulinda dhidi ya madhila hayo, upumbavu umefanya wengine kudhulika.
Serikali kama mzazj mko busy sana na mambo yenu kuliko kutazama maisha ya watu muwaongozao, mko busy sana na ujenzi wa miundombinu na kuacha kujenga utu na mshikamano wa watu, kila mwelezwapo ukweli mnaona kama huyo mtu ni adui, kumbukeni kama watu hawatokuwa na amani hata hayo maendeleo ya features hayatokuwa na mantiki, the true developments come from in the hearts of the People, watu wakiwa na amani ya ndani hata maendeleo yatakuja automatically and they will enjoy, ila kama watakuwa wanyama Hata hiyo miundombinu watakuja kuiharibu ama kuziiba. Kwahiyo niwambie tu, msiudharau moshi, pafukapo moshi ujue kuna moto. Kama mnataka maendeleo ya muda mfupi endeleeni na mnayofanya sasa, ila kama mnataka maendeleo ya milele wekezeni kwa watu na wapewe elimu ya kutosha ili kuleta order katika jamii zetu, mtu awe mlinzi wake mwenyewe na yule awe mlinzi wa yule, kama jamii zetu zitajilinda zenyewe kwanza police hawatokuwa nA kazi ngumu mno, that's a true changes we need of. Naamini kama jamii zetu zitazalisha watu bora basi serikali pia itapata viongozi bora. Mbegu bora( familia) itatoa shina bora( Jamii) matawi imara( Serikali) yatazalisha na kubeba matunda bora( Maendeleo), mti huo( Taifa)utakuwa wa kuvutia na wenye faida nyingi.
Muda wa kujifunza kupitiaa makosa umetosha it's a time to take the measurements.
#TheGreatConquerors ( #ThrowdownContinues)
 
Mkuu vitu unavyoviongelea wewe siyo vya leo au ndo vinaanza leo.

Sisi hivyo vitu tumeanza kuviona siku nyingi tena siku hizi vimepungua, kwasisi ambao tunatokea nyanda za juu kusini ni vitu vya kawaida tu

Magari yamekua yakianguka na watu kasachiwa badala ya kusaidiwa, hasa kwa mkoa wa Mbeya, tena saa zingine watu walikua wanadiriki kumwaga mafuta ya kula na ulezi barabarani kwenye kona kali na kwenye miteremko ili magari yaanguke ili wanufaike.

Kipindi cha nyuma tumeshuhudia mengi mno kuna wakati kipindi cha Mwinyi treni la Tazara la mafuta lilianguka sehemu moja inaitwa Kangaga watu walisombelea magari na magari ya mafuta wengine na mikokoteni ya punda wakiwa wamebeba mapipa ya mafuta, ilikua ni vurumai kwakweli na kama lingetokea janga la moto ingekua historia kubwa sana kwa Tanzania.

Kwa hiyo kutokea kwa hili tukio kusiifanye jamii kwamba sasa hivi ndo imezidi maovu hapana sasa hivi maovu yamepungua.
 
Kumbuka hayo majivu yakipata vichochezi utarudi kuwa moto kwahiyo tusiridhike ya kwamba moto hauwaki yamesalia majivu, kama tunataka amani basi hata hayo majivu tuyadhibiti yasiwepo, na hiyo itakuwa hatua kubwa tumepiga na kwa usalama wetu.
Ndugu yangu.
 
Mkuu kwa mimi sasa hivi naona kabisa maovu yamepungua sana, ila sijamaanisha kwamba hata haya machache yanayotokea tuyatetee hapana.
 
Back
Top Bottom