manonawire
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 943
- 1,216
Ishi kwa busara/ nasaha kwa kizazi kipya n kitabu kilichoandikwa na askofu wa mbinga(EMMANUEL MAPUNDA) na kuchapwa mwaka 2006 Julai 24
Kitabu hiki kinaelezea maswala ya mahusiano/ndoa,na mambo mengi yanayohusu ndoa,yafuatayo n machache mazuri yaliyomo ndani ya kitabu hiki;niende moja kwa moja kwny mada
Maneno 5 ambayo n kinga ya mahusiano
1/Nakupenda
2/Samahani
3/Ahsante
4/Pole
5/Hongera
Mambo ya kuzingatia ili kulinda mahusiano
1/Epuka kutoa adhabu kali
2/Usidharau ushauri na mawazo ya mwenzio
3/Epuka kuhodhi au kutumia vbaya pato la familia
4/Epuka kujenga nje ya ndoa mahusiano yenye kuvunja uaminifu
5/Usiwe mchokozi na mwenye tabia ya kukumbusha makosa ya kale aliyoyatenda mwenzio
6/Epuka tabia ya kutomshirikisha mwenzio mambo yahusuyo mipango ya baadae
7/Epuka kuwaza mabaya juu ya mwenzio