Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,785
- 28,806
Una kibali cha kutoka kwa mheshimiwa?
Msalimu drogba na papaa ndaw
Msalimu drogba na papaa ndaw
Nipe namba zao mkuu nikifika nitawabeep
Ukishuka tu pale airport ukitembea kidogo na kuulizia utawapataNipe namba zao mkuu nikifika nitawabeep
Mheshimiwa sana WENYELE mbwembwe zote kumbe unamchokoza MKULU!!Asante mkuu sjui Kifaransa hata cha kunywea maji....nina kiingereza seif na Magufuli tu
Mkuu Ouagadugu haiko Ivory Coast!!Unaenda mji gani?
Ouagadugu ni poa sana.
Nenda na laini ya airtel maana unaweka vocha kwa hela zao na ukirudi salio unalikuta.
Menu zote ni za kifaransa.
Unaweza patia chakula 2 au vitatu ukajikuta umebaki hapo.
Trafic wao ni kivutio sana.
Barabara zao zina mpaka njia ya pikipiki na taa zina zamu ya pikipiki. Hawachangamani na magari.
Nimesafiri mara nyingi na sijawahi hata siku moja kuulizwa, kama umeshapata usihofu we jiandae n safari yako. Bon voyage et que Dieu vous benisse
Andaa kama dola 30 kwa mfuko,nchi zote z kiafrica ni very corrupt.
Huko kuna kitu kinaitwa AGUTI aka panya jamaa wakula sana hii kituWakuu nimepata Visa na ticket na nitasafiri na Shiriaka la ndege la Kenya kwenda Ivory Coast hofu yangu ni kuwa chanjo ya yellow fever ndio nimeipata leo,je nitaruhusiwa kusafiri maana wameandika inakua valid siku 10 baada ya kuchanjwa....wakuu kweli hapa nitakwea pipa?
Asante sana mkuuUsihofu kabisa mkuu utasafiri tu bila shida. Normally hawako keen kuangalia tarehe. Jambo la muhimu ni kuwa umeipata hiyo kadi ya njano, just in case. Ikibidi kuikagua wanaweza waangalie identify yako tu ili kujiridhisha kuwa kweli ni kadi yako.
Na kwa uzoefu wangu wa kwenda Ivory Coast mara nyingi ni kwamba Abidjan hawajawahi kuniomba niwaonyeshe kadi ya yellow fever hata mara moja. nimeenda. Labda tu uwe na damu ya kunguni aka bahati mbaya mkuu. Na kama ikitokea bahati mbaya itakuwa bahati mbaya kweli kweli kwasababu jamaa ni wala rushwa ile mbaya.
Kila la kheri
Ok, kila la kheri Mkuu! Bienvenue , mais , mois je suis au CamerounAsante mkuu,nishaipata lakini nitaenda ikiwa na siku tano tu