Nasafiriki kwenda Ivory Coast

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,293
2,000
Wakuu nimepata Visa na ticket na nitasafiri na Shiriaka la ndege la Kenya kwenda Ivory Coast hofu yangu ni kuwa chanjo ya yellow fever ndio nimeipata leo,je nitaruhusiwa kusafiri maana wameandika inakua valid siku 10 baada ya kuchanjwa....wakuu kweli hapa nitakwea pipa?
 
Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
2,932

Nimesafiri mara nyingi na sijawahi hata siku moja kuulizwa, kama umeshapata usihofu we jiandae n safari yako. Bon voyage et que Dieu vous benisse
 
WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,293
2,000
Nimesafiri mara nyingi na sijawahi hata siku moja kuulizwa, kama umeshapata usihofu we jiandae n safari yako. Bon voyage et que Dieu vous benisse
Asante mkuu sjui Kifaransa hata cha kunywea maji....nina kiingereza seif na Magufuli tu
 
cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,428
2,000
Acha uwoga man utaenda bila wasi wasi maana kuna wakati nilisafiri somewhere nilipata yellow fever leo kesho nikaondoka na safari yangu ilikuwa murua.Pia few weeks ago nilimsafirisha dogo kwa njia kama ya kwangu.
 
Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,559
2,000
Wakuu nimepata Visa na ticket na nitasafiri na Shiriaka la ndege la Kenya kwenda Ivory Coast hofu yangu ni kuwa chanjo ya yellow fever ndio nimeipata leo,je nitaruhusiwa kusafiri maana wameandika inakua valid siku 10 baada ya kuchanjwa....wakuu kweli hapa nitakwea pipa?
Utasafiri tu, maana kuna nchi kama hauna hiyo vacination card basi hapohapo airport wanakuchoma sindano hiyo ya yellow fever
 
WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,293
2,000
Acha uwoga man utaenda bila wasi wasi maana kuna wakati nilisafiri somewhere nilipata yellow fever leo kesho nikaondoka na safari yangu ilikuwa murua.Pia few weeks ago nilimsafirisha dogo kwa njia kama ya kwangu.
Labda wali-back date mkuu...zamani walikua wanakujazia tarehe za nyuma zaidi ila kwangu wamegoma watapoteza vibarua vyao boss wao akigundua
 
maringeni

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,210
2,000
Unaenda mji gani?
Ouagadugu ni poa sana.
Nenda na laini ya airtel maana unaweka vocha kwa hela zao na ukirudi salio unalikuta.
Menu zote ni za kifaransa.
Unaweza patia chakula 2 au vitatu ukajikuta umebaki hapo.
Trafic wao ni kivutio sana.
Barabara zao zina mpaka njia ya pikipiki na taa zina zamu ya pikipiki. Hawachangamani na magari.
 
cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,428
2,000
Labda wali-back date mkuu...zamani walikua wanakujazia tarehe za nyuma zaidi ila kwangu wamegoma watapoteza vibarua vyao boss wao akigundua
Mimi nilisafiri 2014 ila mdogo wangu alisafiri wiki chache zilizopita sasa sijui hao uliokutana nao labda ni wageni wa kazi wakihofia vibarua vyao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom