kadinali JM
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 379
- 304
H
mawazo mgando. ina maana kila unapomuona msichana mzuri mawazo yako yanakupeleka huko tu?Habari za Leo wanajamii forums, moja kwa moja kwenye hoja, ni hivi Mimi natoka dar kwenda mwanza kesho kwa usafiri wa basi, sasa hapa nimekata tiketi siti moja na manzi mmoja mzuri sana sema Mimi nipo upande wa dirishani, sasa sitaki nikae kimya nataka kidogo nimrushie neno au vijimaneno vya hapa na pale, sasa mazee hasa kwa wenye uzoefu nianze na neno gani baada ya salamu ili nisimkere mapema? Ili angalau tukifika mahala pa basi kulala awe ameshanielewa, Mimi nimepanga yeye nimpe akae upande wa dirishani ili maongezi yaende vizuri, karibuni mtiririke, mstukane lakini,
- dar kwenda mwanza kesho; nimekata tiketi siti moja na manzi mmoja mzuri sana
- tukifika mahala pa basi kulala awe ameshanielewa
Hata na wewe ungekuwa me usingeweza kutulia kimya mpaka mwisho wa safarimawazo mgando. ina maana kila unapomuona msichana mzuri mawazo yako yanakupeleka huko tu?
Asante kwa ushauri mzuri,nunua condom pakti mbili
We umejuaje ilhali Safari ni ya kesho. Huenda alikuwa anamkatia mtu ticket!Habari za Leo wanajamii forums, moja kwa moja kwenye hoja, ni hivi Mimi natoka dar kwenda mwanza kesho kwa usafiri wa basi, sasa hapa nimekata tiketi siti moja na manzi mmoja mzuri sana sema Mimi nipo upande wa dirishani, sasa sitaki nikae kimya nataka kidogo nimrushie neno au vijimaneno vya hapa na pale, sasa mazee hasa kwa wenye uzoefu nianze na neno gani baada ya salamu ili nisimkere mapema? Ili angalau tukifika mahala pa basi kulala awe ameshanielewa, Mimi nimepanga yeye nimpe akae upande wa dirishani ili maongezi yaende vizuri, karibuni mtiririke, mstukane lakini,
Inaonekana wewe uko usingizini unaota, ukiamka utatapika sana. Unatoka dar kwenda mwanza kesho, umekata ticket siti moja na manzi. sasa hiyo siti moja mtakaa kwa zamu au.Habari za Leo wanajamii forums, moja kwa moja kwenye hoja, ni hivi Mimi natoka dar kwenda mwanza kesho kwa usafiri wa basi, sasa hapa nimekata tiketi siti moja na manzi mmoja mzuri sana sema Mimi nipo upande wa dirishani, sasa sitaki nikae kimya nataka kidogo nimrushie neno au vijimaneno vya hapa na pale, sasa mazee hasa kwa wenye uzoefu nianze na neno gani baada ya salamu ili nisimkere mapema? Ili angalau tukifika mahala pa basi kulala awe ameshanielewa, Mimi nimepanga yeye nimpe akae upande wa dirishani ili maongezi yaende vizuri, karibuni mtiririke, mstukane lakini,