NASA predicts that the Sun will reach a so-called solar minimum by the end of 2019 or 2020

MARKYAO

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
673
682
In a daunting warning, NASA predicts that the Sun will reach a so-called solar minimum by the end of 2019 or 2020, and when that happens, that star's central star will emit far less heat than normal, meaning that the mercury in the Thermosphere sinks and leads to a prolonged cold snap, which affects the weather on the surface of the planet.
My take;
If it's true, we are going to face major issues on this planet and life will be miserable.
 
Let's die coz the earth is no longer a safe place for us. Wacha wacha waje viumbe vipya tu hahaha
 
mkuu solar minimum inatarajiwa kuanza 2020 na itafikia 'grand solar minimum' mwaka 2025. sio jambo geni.
katika kipindi kuelekea 'grand solar minimum' kutakua na vipindi virefu vya baridi na pia mavuno yatapungua mashambani.
kumbuka hii ni prediction kutokana na trend ya data walizokusanya mpaka sasa, lakini mambo yanaweza kubadilika
 
Hapo kwenye boldi ndipo pamojawapo pa
kuwekea contingency plans.

Kadhalika, Tanzania ni nchi inayotegemea sana hali ya hewa... miundombinu itakutana na hali ya hewa ambayo pengine haikuwekwa kwenye mahesabu... wagonjwa huongezeka mahospitalini joto linapopungua baadhi ya mikoa na magonjwa ...

Solar cycle imekuwa observed kwa muda.... predictions zinazokuwa supported na observations.... sunspots and the like...
 
Ila kama dunia inainvest heavily kwenye RDs naamini watatatuta solutions kupitia technologies mpya zitakazooververcome this threat..
 
Back
Top Bottom