narusha ndoana kwa aminata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

narusha ndoana kwa aminata

Discussion in 'Love Connect' started by Saint Ivuga, Oct 3, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  huyu mtoto anan'goleka?
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,973
  Likes Received: 6,605
  Trophy Points: 280
  kivipi?unamtaka kimapenzi yaani unataka awe mpenzi wako?hiyo ndoana na kung'oleka una maana gani?mia
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  sitaki kufanya naye mapenzi nataka kumuweka karibu yangu ..kun'goleka manake ni kuwa anaongelezesheka?
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  We mtakatifu unataka kutumbukia kwenye zambi?
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  why not? ila si ulimsoma mwenyewe anampenzi na anataka kuvishwa pete ili mpenzi wake awe wake daima milele? au umesahau?
  Anyway, jaribu tu, ila fanya haraka kabla hajavishwa sasa
   
 6. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Simjui huyo m2.
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Oct 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Huwa naheshimu sana uwepo wako hapa jf lakini ninamasha na upeo wako hasa ktk kutafsiri hali ya mambo kimahaba!

  Kumbuka wewe ndiye umekuwa mbele sana kupost stori za wasanii wa kike (LULU,UWOYA) nk!
  Nadhani kuna kitu kipo kati yako na hao wasanii
  Eidha unatumwa kuwatangaza/kuwapa umaarufu kupitia jf,au unatumika bila kujua,

  Nikirudi ktk post yako:
  Huyo AMINATA9 umeona post yake yajana juu ya yule msanii aliye vua nguo, na yaleo ndo umeanza kurusha ndoana? Ina maana wanawake wote hapa jf usharusha ndoano kama huyu siku mbili tu hivyo?

  Najua post iliyokudatisha ni hii:

  By
  AMINATA 9 18:06 Today

  hivi jamani mtu ukiwa hujaonana na mpz wako mda mrefu,mkionana ni lazima mechi ichezwe hadi uchubuke? au uikesheeeeeee mpaka kukuche?????
  mi hua naona mechi inanoga kama mnaicheza kwa afya i.e round mbili za ukweli then mnalala...lol
  nipe maoni yako
   
 8. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  advertise ya kwanza wewe mtumie dedication ya kale kawimbo ka wale vijana wa iron lady!
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ivuga acha usanii, kung'oleka maana yake ni kuwa ukimtongoza atakubali, neno hili linatokana na tafsiri ya kawaida ya kung'oa kitu. Hii inaweza kumananisha kuhamisha makazi ya kitu toka mahali pamoja kwenda kwingine. Hivyo kung'oa demu ina maana ya kumhamisha msimamo wake wa awali na kuja upande wako ambao bila ya shaka ni kula tunda tehe tehe tehe. Kama nimeingia chaka, I stand to be corrected.
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  sio dh
  abi ..ndio natafuta mwenza hivyo
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  ngoja nianze kumtungia mistari huyu mtoto lonely
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  done!!!!!!!!!!!!!
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  nimekusoma mtu wangu na asante kwa kuibariki ndoana yangu...
  kuhusu wale wadada tunawaweka hapa kwa sababu wale ni vioo vya jamii so ni kitu cha kawaida sana
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  mzee wa rula hujaingia chaka sema hapo kwenye kufanya nae mapenzi ndio uliingia chaka
   
 15. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmmh! ndo mlichokibakiza!!!
   
 16. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mapenzi ya watoto hayo......
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mhhhhhh jf is never boring ....
   
 18. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #18
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  We warusha ndoano wakati wenzio wameshatupia nyavu...
   
 19. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  heheheheee! Wenzie wanamalizia ukoko ye ndo anakumbuka kunawa! Lol!
   
 20. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ehh...!!! Hivi watakatifu siku hizi wanatongoza??
   
Loading...