Naruhusiwa kuyafungulia kesi majambazi yaliyobandika bango kwenye nyumba yangu.

Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
6,024
1,959
Hii jambo sasa nimenikela sana, na kila siku na lalamika kwamba hiyo tabia waache lakn hawaachi,

chama cha majambazi(ccm) wamenichafulia ukuta wa nyumba niliyotumia garama zangu na kupaka rangi lakn kila siku wanabandika mabango yao, je? wana jf naruhusiwa kuwafungulia kesi mahakamani.
 
Wewe si unaishi kwenye danguro mwananyamala?
 
Hii jambo sasa nimenikela sana, na kila siku na lalamika kwamba hiyo tabia waache lakn hawaachi,

chama cha majambazi(ccm) wamenichafulia ukuta wa nyumba niliyotumia garama zangu na kupaka rangi lakn kila siku wanabandika mabango yao, je? wana jf naruhusiwa kuwafungulia kesi mahakamani.

HAIRUHUSIWI KISHERIA KUBANDIKA TANGAZO KWENYE JENGO AU MALI YA MTU BINAFSI PASIPO RIDHAA YAKE, MAENEO WANAYORUHUSIWA NI YALE YANAYOMILIKIWA NA UMMA,MFANO NGUZO ZA MSITIMU,STENDI ZA MABASI,hvy We Nenda Kawafungulie Kesi
 
Hii jambo sasa nimenikela sana, na kila siku na lalamika kwamba hiyo tabia waache lakn hawaachi,

chama cha majambazi(ccm) wamenichafulia ukuta wa nyumba niliyotumia garama zangu na kupaka rangi lakn kila siku wanabandika mabango yao, je? wana jf naruhusiwa kuwafungulia kesi mahakamani.

Hcho chama ni cha wap??? Au bangi zako za Kenya ndo znakuwasha!!!!!
 
Kimbia mahakamani haraka sana hilo ni kosa la uchafudhi wa madhingira
 
Fungua tu kesi, ila ujue mahakama ni yao, na chochote kidogo kinachopatikana wanagawana na waajiriwa wa mahakama
 
Hii jambo sasa nimenikela sana, na kila siku na lalamika kwamba hiyo tabia waache lakn hawaachi,

chama cha majambazi(ccm) wamenichafulia ukuta wa nyumba niliyotumia garama zangu na kupaka rangi lakn kila siku wanabandika mabango yao, je? wana jf naruhusiwa kuwafungulia kesi mahakamani.
Wewe ndio jambazi namba moja
 
Angalia, usije ukaenda mahakamani ukakuta hata nyumba walishajimilikisha!
 
Mkuu hatua ya Mwanzo kabisa ni kubandika tangazo " MARUFUKU CHAMA CHA MAJAMBAZI CCM KUBANDIKA MATANGAZO YAO HAPA" kwa sababu zifuatazo:
1. Wizi wa Fedha za Umma via ESCROW a/c, EPA, Mikataba ya kishenzi
2. Ujangili
3. Kukithiri kwa Biashara ya Sembe
4. Kuendekeza sera za Ushoga za Kugawa Rasilimali za Taifa
5. Ikulu kuratibu Ujambaz na UFISAD nk

Back
Top Bottom