Naruhusiwa kufuga punda Dar?

beberu777

Senior Member
Feb 28, 2017
198
200
HIVI WANAJAMVI KWANINI?! IDADI YA WANYAMA NG'OMBE NI WENGI WAKATI WANAZAA MTOTO MOJA. ILA PAKA ANAZAA WATOTO SITA NA NI WACHACHE?!!
LA PILI HIVI DAR KWANINI KUNA MBUZI WANAOJICHUNGA WENYEWE ?! JE HAWANA HAWANA WENYEWE?! NA KAMA WAPO MBONA HAWAWATOI?!!
CHA TATU, NARUHUSIWA KUFUGA PUNDA DAR?! NA NITAMPATA WAPI WA KUNUNUA?!
 
Unafananishaje paka na ng'ombe mkuu?? uzao wao ni tofauti naturally..ng'ombe hawezi kuzaa ndama sita kwa mkupuo mmoja kama paka

Hao mbuzi wanaojichunga wenyewe wana watu wao na kuna namna fulani hivi wenye hiyo mifugo wanajua...Kuhusu kuzaliana mmh hapo sijui..

Kufuga punda ni ruksa ili mradi ufate sheria na taratibu za ufugaji mahali husika
 
swaiba ngombe anazaa moja tu na paka anazaa 6 why wasiwe wengi
 
Baba J achia kidogo babaaaa,ona sasa watu wako wameamua kurudia maisha ya ujima baba!!petrol ina rodi laisensi,magari kodi,....kupambana na hilo wameanza kutumia punda!!baba tunusuru wanao!!usishangae baba ukakutana na mkokoteni unavutwa na punda unashusha watu hapo jirani kwako kivukoni !!!
 
WANASEMA WALE NI MBUZI WA ALBADIRI SIJUI ETI WANA MAKAFARA.DAWA YAO NI KUWABEBA WOTE NIGHT NA CANTER KISHA BREAK YA KWANZA VINGUNGUTI.AFU TUONE IYO NGUVU YA ALBADRI
 
WANASEMA WALE NI MBUZI WA ALBADIRI SIJUI ETI WANA MAKAFARA.DAWA YAO NI KUWABEBA WOTE NIGHT NA CANTER KISHA BREAK YA KWANZA VINGUNGUTI.AFU TUONE IYO NGUVU YA ALBADRI
Mkuu wacha kabisa mchezo utawaponza hadi ndugu zako ambao hawausiki utawaona tu wanavyo pukutika wewe ndio utafunga kitabu.
 
Ukivuka tu, nyoosha na barabara mpaka kanisani utakuta punda... Farasi ukitaka nenda jioni pale kabla ya kuvuka daraja la kigamboni ukitokea mjini upande wa kulia kuna farasi wengi ujawahi ona...
 
Back
Top Bottom