mutisya mutambu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 208
- 82
wana JF,leo hii natangaza rasmi mbele yenu kwamba kwa moyo wangu wote nimeamua kurudisha kadi ya jamvi lile la sura ya kitabu najiunga nanyi great thinkers nijifunze mengi kutoka kwenu,nikue vizuri nami niyaweze.yani jf ni zaidi ya yote,hakuna jamvi kama hili,ukiniuliza greatthinkers wako wapi? nitakwambia nioneshe jamiiforum iko wapi uwaone.hodini jamani!