Narudia tena, wanawake siyo watu wazuri

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,960
Binti kaolewa wiki mbili zilizopita na anaweka kabisa status picha za harusi, mumewe n.k ila huwezi amini ninachochat naye hapa sasa hivi, na si ajabu weekend hii nikaenda mla.

Aibu naona mimi.

Binti huyu aliwahi kuwa msichana wangu kitambo sana. Daaah, kikombe hiki kiniepuke. Siku hizi nimekuwa mwoga sana na wake za watu, kuna ki-guilty flan hivi, namwonea mwana huruma kinoma yani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba wewe ndio shetani kaamua kukutumia kama wakala wake ili umuharibie ndoa then unamlaumu yeye? Kama kweli unamheshimu na kumpenda acha kuwasiliana nae uone.
Mim walaaaa,yeye ndo kanianza,nashangaa tu gafla anatuma picha zake za zaman.et unakumbuka siku hiii,hahahah.baada ya hapo ndo akaanza ongea ujinga,af wanawake washenz anaongea matus tuu,af kwa mumew anakua mstarabuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini na wewe, watu tumekaa tunasubiri utuoe unasema huoi ndio nini sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi ni mbinafsi sanaaa,mambo ya kuhudumia wakwe na mashemeji siwezi,kutoa mahari kwa mwanamke asiye bikra siwezi,ndoa ni mzigo kwa mwanaume ila ni mteremko kwa mwanamke ndo maana kila mwanamke analilia ndoa, mwanamke umlishe,umtunze,akiumwa umlipie matibabu,mama ake na baba ake wakiumwa ulipe hela ya matibabu,hapo hapo umpende,umjali,umpe muda wako,yeye anakupa pussy tu,tena pussy yenyewe hakupi kama unavyotaka, excuses kibao,mara anaumwa mara hajisikii,mara amechoka,ila mwanaume inabidi umuhudumie kila kitu bila excuses zozote.hapo bado hajachepuka,bado hajakuletea watoto wa nje,kwanini nihangaike na haya yote kisa pussy??

sijaoa na sitooa, nimeshazalisha watatu tayari,mwakani nazalisha mwingine,ova!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga wee... Huna akili...

Wanaume sisi tulivyo ukishaona Demu unayemtaka/uliwahi kua naye kaolewa, huwa tunavitabia vya kutest. Kunifanya kwamba Unampendaa, wee ndo ukitaka kumuoa, ohooo nini....


Mwisho wasiku sababu wanawake ni wadhaifu hujikuta wanazama kwenye mitego ya mashetani kama wewe.


Alafu unakuja kujisifia upuuzi na usenge usenge humu...

Sasa siungemuoa????....


ACHA KUMHARIBIA MWENZAKO NDOA YAKE ... MADEMU WAPO WENGI WAMEJAAA KILA KONA !!!

shenzi kabisa!!!





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pablo Blanco, Hao unaowazalisha ulikuta wako bikra ?. au hesabu zako wee kuhudumia ?? Maana kama ni papuchi hujakuta bikra nabado ukaenda pekupeku...

Sijaona mantiki ya Kuzaa zaaa ovyoovyo ...

Na inshu kama ni Bikra, mbona wapo wengi sana ????.


Mimi nadhani, siku utakayofanikiwa Maisha, ndio siku utakayoamua Kukaa nakuoa mwanamke wako wako pekeako akuzalie n.k

Haya mengine ya kuzaaa zaaa, NI nadhan NI sababu waafrika hususani masikin starehe Yake kubwa ni ngono, na matokeo ya ngono huwa ni mimba zisizotarajiwa n.k.


Hata ivo, hii piga piga mwisho wasiku utaishia kupata moja LA hili

Ugonjwa

Au

Umasikin

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom