Narudia tena Rurion Kenshin ni movie bora kwa muda wote

Sasa nongwa iko wapi pale? Wewe umekuja kusema ni movie kali naye anasema ni movie mbovu, ukaanza masuala ya wao wanatengeneza hela. Wewe unayeitetea unatengeneza shilingi ngapi. Kwani lazima kila unachokubali kikubalike

yani hawa jamaa wanataka kila mtu akubaliane na mawazo yao.

sasa kama kitu me nimeona kibaya je tatizo liko wapi? yeye yuko sahihi kusema ni nzuri kwa mtazamo wake na mm niko sahihi kusema mbaya kwa mtazamo wangu
 
Punguza mawazo mgando ndugu inaonekana uko kichwani una uji badala ya ubongo.Wewe endelea na dharau za kazi za watu wakati huna chochote unachokiweza zaidi ya kunya.

Wewe unaekimbilia kutukana ndio una uji kichwani. Tena kitendo cha kulazimisha mawazo yako kukubaliwa na kila mtu ndio yaonesha unaweza kunya tu.

Sisi ni watu wazima lazima kuheshimu mawazo ya mtu, me nmeheshimu mawazo yako kuwa movie kali (kwa mtazamo wako) na uko sahihi.

ila kwa mtazamo wangu movie mbovu tu na niko sahihi. Usitake kulazimisha kila mtu aone unavoona wewe. Let’s agree to disagree
 
Hizi nimeziangalia zote, nikajionea utopolo, maybe kwa kuwa sipendi muvi za mapanga. Na ili uielewe vizuri, ile The Beginning ndio utaelewa zile 4 ulizoangalia.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Rurion inahitaji mtu mwenye mahaba nayo kweli kweli halafu usiwe unaangalia muvi imetasfiriwa na ma djs.
Ukitaka kuona uzuri wa muvi angalia ukiwa umetulia, ukitoa uhuni wa kutuwekea shishio anayetoa moto, muvi imesimama ina stori nzuri. Mi nimeikubali kwa kuwa haina erotic scenes ambazo mara nyingi zinakuwa unnecessary.
#Battosai 😎😎😎😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom