Narudia tena: Magufuli si wa kuchezea

Wanabodi wanajamii na watanzania kwa ujumla, nawasihi kila Siku kwamba namuona Magufuli kwenye sura za akina sokoine, Nyerere, Mkapa, Tumain el Kihwelu, na saa Nyingine ni kama Mrema Wa enzi zile,

Kwanza tumjue Magufuli ni nani,

Magufuli ni rais Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania,

Mambo yapi yanayoonesha magufuli hana utani kazini wala hataki kukwamishwa,

1. Wakati huu mamlaka zimekuwa active zaid kushughulikia wale wakosaji hata kabla ya yeye kutamka lolote maana wanajua akitamka ni mbaya zaid, bora watende kabla hajatamka

2. Magufuli hataki kutoa ahadi za kuridhisha tu , kama haiwezekan ni haiwezekan, fuatilia hotuba zake nyingi,

3. Magufuli ni mtu asiyependa kukwamishwa wala kubishiwa au kumtoa kwenye misingi anayoamini yeye,

4. Hacheki na MTU na hapendi kujaribiwa na hajaribiwagi

5. Upinzani na watu kwa ujumla wapo.kimya na wanachunguza maneno kabla hawajasema, imekuwa kama mwalimu nyerere vile, ukisema vibaya au kukashfu uko mikononi

6. Wala rushwa na wabadhirifu wanahaha wanashindwa wafanye nini kila kukicha maana njia zote kazibana

7. Magufuli ameweza kuelekeza hela za rambirambi bukoba zifanye mambo ya jamii ya bukoba na hakuna Wa kuhoji wanahoji chini chini,

8. Magufuli anania njema na Tanzania hivyo ukitaka kuleta ujinga tutakutunza sehem Salama kwanaza

9. Magufuli ndo kafanya Maalim seifu kukaa kimya na kuishia kujifariji kuwa kesi iko ICC, na kakataza fyokofyoko.

10. Magufuli ndo kafanya mnyika, mdee na wengine kukaa kimya maana utawala huu hauhitaji ujinga,

11. Magufuli ndo amesababisha Tanzania kujulikana upya uku Nje tulipo na kutambulika sana kama nchi yenye heshima,

12. Kama humjuhi magufuli hebu jaribu kumjaribu maana hata thread nyingi zinafutwa na mods kwa kuogopa,

13. Magufuli kafanya shilling ithaminiwe tena hakuna tip tena kwenya hoteli na bar

14. Mi namuona Magufuli kama MTU sahihi kuongoza nchi ambayo ilikuwa imepinda ,

Dah Magufuli!!!!!!!!!!!
15- mpaka sasa Nchi imepinda zaidi kwani wakati magufuli akiwa mkoani mara wilayani Tarime alikemea Tabia ya matajiri kutumia pesa zao kuwanyanyasa wanyonge, Cha ajabu na cha kushangaza Dunia ni huko huko Tarime ambapo DC amewakumbatia matajiri kinyume na kauli ya magufuli na huchukua Rushwa toka kwa matajiri kisha kumtuma OCD kwenda na Polisi wake kuwapiga wananchi wachimbaji wadogo wadogo masikini wanyonge kisha kuwapora madini yao na mali zingine zikiwemo pesa na baada ya unyanyasaji huwabambikia kesi ili wakiwa jela wale matajiri wapate fursa ya kuwaibia Madini yao kisha kugawa faida na RPC, OCD na DC, hawa wanamuunga mkono magufuli?
 
Toka Acacia wamtie mimba tasa kweli amekuwa siyo wa mchezo mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo ni kweli!!
Naona Magufuli ana hasira na ACACIA sababu ya MAKINIKIA..!! Badala ya ku-deal na wazungu wenye Kampuni kina THORNTON ameamua kutumia mtindo wa samaki mkubwa kumla mdogo..!!!Kawashukia kina Mwanyika na Lugendo kana kwamba wao ndo waliosababisha issue ys MAKINIKIA KUBUMA...!!Tunakoelekea siko salama hata kidogo kwa hali hii!!W!W
 
Wanabodi wanajamii na watanzania kwa ujumla, nawasihi kila Siku kwamba namuona Magufuli kwenye sura za akina sokoine, Nyerere, Mkapa, Tumain el Kihwelu, na saa Nyingine ni kama Mrema Wa enzi zile,

Kwanza tumjue Magufuli ni nani,

Magufuli ni rais Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania,

Mambo yapi yanayoonesha magufuli hana utani kazini wala hataki kukwamishwa,

1. Wakati huu mamlaka zimekuwa active zaid kushughulikia wale wakosaji hata kabla ya yeye kutamka lolote maana wanajua akitamka ni mbaya zaid, bora watende kabla hajatamka

2. Magufuli hataki kutoa ahadi za kuridhisha tu , kama haiwezekan ni haiwezekan, fuatilia hotuba zake nyingi,

3. Magufuli ni mtu asiyependa kukwamishwa wala kubishiwa au kumtoa kwenye misingi anayoamini yeye,

4. Hacheki na MTU na hapendi kujaribiwa na hajaribiwagi

5. Upinzani na watu kwa ujumla wapo.kimya na wanachunguza maneno kabla hawajasema, imekuwa kama mwalimu nyerere vile, ukisema vibaya au kukashfu uko mikononi

6. Wala rushwa na wabadhirifu wanahaha wanashindwa wafanye nini kila kukicha maana njia zote kazibana

7. Magufuli ameweza kuelekeza hela za rambirambi bukoba zifanye mambo ya jamii ya bukoba na hakuna Wa kuhoji wanahoji chini chini,

8. Magufuli anania njema na Tanzania hivyo ukitaka kuleta ujinga tutakutunza sehem Salama kwanaza

9. Magufuli ndo kafanya Maalim seifu kukaa kimya na kuishia kujifariji kuwa kesi iko ICC, na kakataza fyokofyoko.

10. Magufuli ndo kafanya mnyika, mdee na wengine kukaa kimya maana utawala huu hauhitaji ujinga,

11. Magufuli ndo amesababisha Tanzania kujulikana upya uku Nje tulipo na kutambulika sana kama nchi yenye heshima,

12. Kama humjuhi magufuli hebu jaribu kumjaribu maana hata thread nyingi zinafutwa na mods kwa kuogopa,

13. Magufuli kafanya shilling ithaminiwe tena hakuna tip tena kwenya hoteli na bar

14. Mi namuona Magufuli kama MTU sahihi kuongoza nchi ambayo ilikuwa imepinda ,

Dah Magufuli!!!!!!!!!!!
Una akili ndogo kama zake. Nyerere unamfananisha na jiwe!???.
 
USIKUBALI KUKUTANA NA BWANA PEPSI AISE UTAPATA TABU SANA
 
Kweli siyo wa kuchezea kwa kuporomoa uchumi ,kwa kuongeza umasikini ,kwa kushusha thamani ya fedha ,kwa kuteka , kuua ,kufunga kwenye viroba , kwa mauaji ya mkiru ,kwa kuteua watu wa ajabu , kwa kupiga tilioni 2.4 , kwa kutoongeza mshahara miaka mitatu , kwa kutoajiri miaka mitatu , Kwa visasi ,upendeleo , ukabili ,udini kwa ushamba na ulimbukeni , kwa kupoteza watu , Kwa kutofuata sheria ,katiba miongozo ,utu ,ubinadamu .
 
Back
Top Bottom