Narudia tena lengo lao sio kesi wala kushinda kesi ya ugadi

winnerian

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
334
530
Tupo busy tunajitia moyo "USHINDI NI NJE NJE"

Kwa asilimia kubwa lengo la chama tawala ccm kupitia nyenzo zake yaani police na mahakama wamefanikiwa kwa asilmia 100% hadi tunavyoongea kuweka mada ya katiba mpya nyuma ya wakati.

That was all about.
 
Sasa waambie sababu ya kuhangaika na wale wa maria space,na wale wa jamhuri ya tweeter na majukwaa mengine kabambe ya kijamii ni matokeo ya mambo yao ya hovyo na kutozingatia sheria,Katiba na tamaduni za jamii zilizostaarabika.
 
Tupo busy tunajitia moyo "USHINDI NI NJE NJE"

Kwa asilimia kubwa lengo la chama tawala ccm kupitia nyenzo zake yaani police na mahakama wamefanikiwa kwa asilmia 100% hadi tunavyoongea kuweka mada ya katiba mpya nyuma ya wakati.

That was all about.
Kujiaibisha kote huko unaita ushindi.. shahidi hata kujieleza akaeleweka hamna kitu useless!!

Kuhusu katiba moto utakuwa ule ule utawaka nchi nzima this time hakuna wa kuzuia makongamano.

Yaani ni hivi katiba ni takwa la nchi...ni sawa mtoto wako anataka kuoa afu wewe mzazi unampiga biti...eti binti humtaki thubwenke..
 
Tupo busy tunajitia moyo "USHINDI NI NJE NJE"

Kwa asilimia kubwa lengo la chama tawala ccm kupitia nyenzo zake yaani police na mahakama wamefanikiwa kwa asilmia 100% hadi tunavyoongea kuweka mada ya katiba mpya nyuma ya wakati.

That was all about.

Lazima wafanikiwe wakitumia vyombo vya usalama, ila wanazalilika sana na ni kwa gharama kubwa sana
 
Mkuu unapoteza muda wako bure kuandika utumbo hapa jukwaani. Si Lisu, Lema wala Mnyika atakaekupongeza kwa kuandika utumbo huu. Hata mwenzio Mmawia ambae ni maarufu ufipani na hapa JF alikuwa kinara wa kuandika utumbo na kulamba viatu vya mtoto wa Mbowe, lkn leo kaona haina maana na kuamua kukaa pemben maana aliekuwa anamlipa ndio huyo ananyea debe segerea.

images (38).jpeg
 
View attachment 1943931
"How fortune for a government to rule the fools"
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom