Narudi bongo, msaada wakuu!

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Baada ya kui-miss bongo km miaka 2 hivi, sasa narud ndani ya wiki moja au 2 hivi.
Naomba ushauri nikija ni2mie mtandao gani wa simu yaan voda, tigo, zain nk. Nataka huduma reliable na bei cheap.
Pili kama kuna m2 anajua nawezakupata chumba maeneo karibu na Airport Dar, nyumba yenye gate ntashukuru sana. Ningependa kulipia labda miezi mi3 coz sijajua mishughuliko yangu ofisi ita base wapi. Sitamaind kama chumba kitakua mbali na airport bali ingenirahisishia sana km ikiwa hivyo.
Ni hayo 2.
 
kARIBU SANA bongo,miaka miwili mbona bongo iko vile vile tu.mtandao tumia TIGO kuhusu vyumba madalali wapo
 
Karibu lakini unatokea wapi?
Hii itatupatia mwangaza wa jinsi ya kukusaidia.
Eti unataka mtandao cheap lakini reliable?
Hakuna kitu cheap halafu reliable mkuu.
Karibu lakini.
 
Dah mkuu karibu sana Nyumbani bongo bado Tambarare mzee kwa line nakushauri utumie tiGo ndo mtandao wa bei cheee kuliko yote ukiongeza tumia Zantel
 
Baada ya kui-miss bongo km miaka 2 hivi, sasa narud ndani ya wiki moja au 2 hivi.
Naomba ushauri nikija ni2mie mtandao gani wa simu yaan voda, tigo, zain nk. Nataka huduma reliable na bei cheap

BOMBA MBAYA !!KARIBU MPENDWA NAFURAHI KUSIKIA WATANZANIA WAKIKUMBUKA NYUMBANI KWAO PAMOJA NA KWAMBA SIJAJUA UNARUDI KIMOJA AMA LAH...HATA ILI LA KURUDI TU BIG UP.....HAKUNA MAWAZO TOFAUTI

MTANDANO NI HUO HUO TIGO

UKIFIKA AIRPORT USIKIMBILIE TAX ZA PALE ZA I DOLLERS BILA KUANGALIA WATANZANIA ZIPO ZA WALE WALE KWA NJE WALA USIOGOPE KUTEMBEA KIDOGO...

KWA UPANDE WA NYUMBA LABDA NIKUPE NAMBA YA DALALI...0716 580 040

MMMH KWA MIEZI MITATU TUOMBE MUNGU INAKUWAGA SITA NK...

NAKUTAKIA KILA LA KHERI NA PLAN ZAKO
 
Wewe ni mbongo au? Mbona unatuaibisha ? Mbongo gani anaanza kuulizia vitu kwa mbali hivyo? Wewe ktu cha kwanza shuka ground hali halisi utaifanyia tathmini mbele kwa mbele.
 
Watu wengine kwa kupenda sifa na attention....mtu huendi popote lakini unabandika humu eti unaenda bongo....frustrated individuals are pitiful...
 
we ukija anza na voda. ndio bomba kweli kweli .Then cheap rooms jaribu hapo manzese hapo. Viko tu. Kwani majuu ulikuwa unapiga mzigo au kula kulala?
 
Wewe ni mbongo au? Mbona unatuaibisha ? Mbongo gani anaanza kuulizia vitu kwa mbali hivyo? Wewe ktu cha kwanza shuka ground hali halisi utaifanyia tathmini mbele kwa mbele.

anajifanya mgeni bongo, miaka miwili TU! njoo nikupe nyumba nyuma ya kiwanda cha ashkirim-BAKHRESA, nyumba ina geti ndiyo lakini uzio wa makuti, nachukua miezi 12 laki moja tu kwa mwezi, bei chee baba uwanja wa ndege unatembea dk 10 tu.
 
Watu wengine kwa kupenda sifa na attention....mtu huendi popote lakini unabandika humu eti unaenda bongo....frustrated individuals are pitiful

Nawewe uwajui??wakirudi laba waje na makaratasi ya kubandika
 
fuata ushauri huu!

Kiongozi,

Unajua kijana kanshangaza sana, lakini sisi waTZ tuna malezi tofauti kutokana na maisha ya maskini na matajiri kutofautiana sana, huenda huyu mwenzetu ni wale 'kamlete' hawajui ku-hustle. Sasa ndio hivyo kafikwa.
 
Ni kweli, inaonyesha uwezo wake wa STADI za MAISHA ni mdogo sana, na ninawasiwasi kuwa IQ yake ni single digit!
 
Wabongooooo,

We are soo bad we are good. I hope Abdulhalim was being sarcastic.

Granting the original poster the benefit of doubt, kuna ajabu gani kufanya planning?

OK, jamaa anaonekana ku-stretch vitu unnecessarily, miaka miwili mbona ni muda ambao baadhi yetu huwa wanaenda vacation bongo? Lakini at the same time there is nothing wrong with planning ahead and soliciting info, sasa watu wasiofanya planning badala ya wao kuonekana kwamba ndio wasiofanya vizuri tunaanza ku embrace culture ya "we shuka tu utaona hali huko huko"

Vipi kama anashuka halafu anagundua kuna vitu vinauzwa kwa bei mara kumi bongo kuliko huko aliko?

I think the whole point of the post 0- if your ignore the overstretch- ni kujiandaa, sasa utamwambiaje mtu aende kichwa kichwa wakati yeye anataka kujiandaa?
 
hahahaaa! huyu nae! sasa anataka chumba au nyumba? na anataka karibu na airport ili atembee kwenda airport au?

kama vipi madalali lazima wakupe nyumba za waliohamishwa ile kwako.
 
Angalia kaka usijepewa Kipawa baadae wakavunja nyumba ukiwemo ndani kuwa makini na yeyote atakae kuambia kuwa ana chumba Kipawa watachukua pesa wakijua kuwa nyumba itavunjwa wakati wowote.
 
Baada ya kui-miss bongo km miaka 2 hivi, sasa narud ndani ya wiki moja au 2 hivi.
Naomba ushauri nikija ni2mie mtandao gani wa simu yaan voda, tigo, zain nk. Nataka huduma reliable na bei cheap.
Pili kama kuna m2 anajua nawezakupata chumba maeneo karibu na Airport Dar, nyumba yenye gate ntashukuru sana. Ningependa kulipia labda miezi mi3 coz sijajua mishughuliko yangu ofisi ita base wapi. Sitamaind kama chumba kitakua mbali na airport bali ingenirahisishia sana km ikiwa hivyo.
Ni hayo 2.

Mkuu,
Maelezo yako yanakufanya uonekane mnyonge na mtu aliyechoka sana.
Utakuja kwa usafiri gani tukupokee?
Ndege au Meli au Gari?
 
Duh! Great thinkerz wengine bwana! Ok. Nawashukuru sana mlionikaribisha na kunishauri. Ntachukua ushaur wenu.
Kwa wengine i take it mnatafuta umaarufu JF. Ila wa2 wa dizain yenu ni part ya vijimambo viifanyayo dunia izunguke. Asanten na nyie pia
 
Back
Top Bottom