Narok- Maai Mahiu road: 17 people have been confirmed dead after a bus they were travelling in lost control

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,507
NAROK, KENYA: Takribani watu 17 wamefariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kumshinda dereva na kuanguka katika mto Siyiabei uliopo barabara ya Narok- Maai Mahiu

Kamanda wa Polisi Kaunti ya Narok, George Natembeya amethibitisha habari hiyo akisema basi hilo lililokuwa na uwezo wa kubeba abiria 63 lilikuwa linaelekea Nairobi likitokea Homa Bay

Kwa mujibu wa mashuhuda wanadai, dereva wa basi alikuwa akijaribu kulikwepa lori lililokuwa linaingia barabarani, ndipo basi lilipomshinda na kuingia mtoni

Majeruhi walikimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Narok

ajali 2.jpg
==========

At least 17 people have been confirmed dead after a bus they were travelling in lost control and plunged into River Siyiabei along Narok- Maai Mahiu road.

Narok County Commissioner George Natembeya confirmed the accident saying the 63-seater bus was heading to Nairobi from Kendu Bay in Homa Bay County.

According to eye witnesses, the bus was trying to avoid a construction lorry which was joining the road when the driver lost control and plunged into the river.

The injured were rushed to the Narok Referral Hospital. Police and the Kenya Red Cross team arrived at the scene for a rescue operation.

ajali.jpg
 
Back
Top Bottom