Napomhurumia Mashy.Siku moja kabla ya Kuoa au Kuolewa Haraka sana fanya Mambo haya kabla ya kwenda honey moon.

Kaka mkubwa GuDume simu hizi zimekuwa na changamoto kubwa mku. Mi binafsi nishasuluhisha magomvi mengi kwa sababu simu. Kaka wewe imagine Boss mmoja maarufu mjini ako na simu mbili moja anaitumia kwa mahawara tu na daima hajawahi hata siku moja kuichukua home anaifungia kwenye drooo utadhani mule kwenye droo anahifadhi mamilioni lakini vijana wa leo hawataki kujifunza yaani wee acha tu
 
For sure ni changamoto kubwa sana.
Kaka mkubwa GuDume simu hizi zimekuwa na changamoto kubwa mku. Mi binafsi nishasuluhisha magomvi mengi kwa sababu simu. Kaka wewe imagine Boss mmoja maarufu mjini ako na simu mbili moja anaitumia kwa mahawara tu na daima hajawahi hata siku moja kuichukua home anaifungia kwenye drooo utadhani mule kwenye droo anahifadhi mamilioni lakini vijana wa leo hawataki kujifunza yaani wee acha tu
 
Honey moon ya Mashaka(si jina lake halisi) imeharibiwa kwa kitu kidogo sana na kufanya ndoa nzima kuwa katika mashaka makubwa ukiangalia mustakabali wake. Siku iliyokuwa ya furaha,nderemo,hoi hoi na vifijo baada ya Mashaka kuhalalishiwa kabisa mbele ya uma wa watu kadhaa kuwa ni halali kwake kumgegeda bi Siwema.

Yaani kuanzia hapo kama Siwema angepata mimba watu wasinge question uaminifu wake kwa jamii maana walikuwa wanajua sasa kila usiku anatoa na kupata huduma ile pendwa duniani.

Wakiwa honey moon siku hiyo usiku walikuwa wamechoka saaaaaaana.wakalala kwa uchovu.asubuh Siwema akaamka na kwenda maliwato kwa ajili ya kusafisha tumbo. Mashaka akiwa kitandani akanyoosha mkono na kuchukua simu iliyokuwa mezani.alishika simu ya mkewe.

Alikuta kuna lundo la texts na pia missed calls.akashawishika kuangalia texts hizo kupata feedback ya harusi yao na ofcourse hakuwa na nia mbaya zaid tu ya udadisi (curiosity killed the cat)

Katika fungua fungua akakuta text ambayo namba yake haikuwa ime saviwa akaona aifungue hiyo.lahaullah lakwata meseji ilikuwa ikisema
" baby najisikia wivu kweli kuona sasa hatutaweza kuwa tunato***na kwa uhuru. Bado ile juzi inanijia kichwani jinsi ulivyoniaga kwa penzi tamu, usinisahau mpenzi wangu tumetoka mbali sana, sema sina uwezo wa kukuoa.ila nitakupenda daima na upatapo nafasi karibu tena home. Nitunzie zile style nyingine usimpe huyo mumeo. I miss your pussy sana.ni siku 3 zimepita ila utadhani ni miaka 3. Delete the msg plz"

Mashaka alishtukwa na moyo. Ghafla jasho likaanza mtoka.akili ya haraka aka screen shoot ile mesej na kujitumia whatsapp"

Akaendelea kuchat na yule bwana akimuuliza ni jambo gani anamiss sana na hatotaka mume apewe. Yule bwana kule aliko akajibu akidhani anachat na Siwema. Akasema anaomba ahifadhiwe TIGO... hiyo ibaki kwa ajili yake tu.

Maskini mashaka.hakutaka kuamini maneno aliyokuwa akiyasoma.hakutaka kuamini mkewe ambaye alikuwa anaonekana ni mwadilifu sana mwenye kujifunika ushungi kila wakati,msafi na mwenye nidhamu.

Ndoa ya Mashaka tayari ilianza katika msingi mbovu. Tayari ilianza safari kwa kutumia mguu wa kushoto. Siwema alipokuja kuulizwa alikana kabisa lile jambo na kulia sana.ingawa baadaye alijichanganya kuwe yule alituma text atakuwa shabani anataka kumwaribia hasa baada ya kuwa alimkataa. Baadaye alikiri ni kweli alienda kwa shabani kumwambia kuwa sasa asimsumbue maana anaenda kuolewa na akadai hakufanya naye jambo lolote. Swali likabaki kwa nini alienda kwa shabani? Na maswali mengi sana ambayo tayari yalishatia doa la ndoa ile.

Nikawaza. Kwa nini msifanye hatua hizi siku moja au mbili kabla ya ndoa?
1. Badilisha namba ya simu
2. Funga accounts zote za fb,tweeter n.k fungua mpya.
3. Jitoe katika ma group yote ya whatsapp uanze upya
4. Marafiki hasidi wote uache mawasiliano nao
5 .Anza upya kabisa na kila kitu. Upya kabisa.

Inasikitisha ndoa inapoanza kwa mashaka. Tayari kunakuwa na hali ya kutokuaminiana katika unganiko hilo. Ndugu zanguni mliooa ndoa si mchezo kama vipi subirini kwanza.
Hadithi ni tamu.... Ila pia kuna jambo la msingi la kujifunza.
 
Duh!inasikitisha kwakweli.......namshukuru Mungu nimeolewa mambo ya ex sikuyajua
 
Back
Top Bottom