Napokea SMS hii kutoka kwenye simu yangu iliyoibiwa naomba ushauri

project planner

JF-Expert Member
Jul 8, 2019
1,166
1,532
Natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na mapambano ya Corona tumwombe mola atatusaidia.

Niende kwenye mada ni wiki mbili zimepita tangu niibiwe simu yangu na vibaka sikutaka kuifuatilia kwa sababu nilijua itakuwa wamesha flash ila baada ya siku mbili tu nikaanza kupokea sms ambayo inasomeka hivi

"dear mobile customer: your mobile is used by the IMEI no 6400211******** in case your mobile lost or stolen please inform concerned authorities about this "


Sasa naomba kujua hii sms inatoka wapi maana mtumaji wa sms Ni namba yangu na mpokeaji Ni namba yangu pili natakiwa nifanyaje ili kuipata simu au haiwezekani kuipata Tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry kidogo, huo ujumbe unapokea kwenye simu nyingine au ile uliyoibiwa? Mwizi alikupa sim cards zako?

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Hap ni tcra nenda polisi.
Ila polisi wanapenda sana rushwa kama humjui mtu watakupotezea muda tu
 
Back
Top Bottom