Napitia wakati mgumu sana naombeni ushauri na msaada kwa kadri utakavyolipokea linalonisibu

Kuhama kwenda mahali mimi kwangu sio issue mkuu, ikipatikana sehemu yoyote na kukawa na issue ya uhakina naenda, sema kuondoka na hujapata ndio mtihani ulipo pia.
Badili direction sio lazima ukae mjini mazee sogea hata Bagamoyo huko ama Mkuranga kuna madon kibaao wanataka watu waaminifu kukaa na kutunza mashamba yao kimsingi wao ndio wanakua wasimamizi wakuu mzee baba anaulizia tu kwa simu shamba linaendeleaje mjini inabidi ukaze hata ikibidi kutumia njia za panya ambazo sioza halali
 
Watu wengine bwana, umekalisha mapumbu unamwambia mtu pambana, kirahis rahisi tu, ndio ushauri gani huo kwanini usimpe idea ya kufanya kulingana na muktadha aliousema hapa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hiyo idea uloitoa iko wapi? Au nawe umekalisha mapumbu tu ukisoma comments? Kafanye kazi huko usinimalizie stress zako.
 
Ahsante kwa ushauri mkuu ingawa pakuanzia napo ni changamoto ila nimeupokea
Mkuu pole sana-naelewa vizuri hali unayopitia kaka....hebu nicheki PM tugawane nilicho nacho hapa mfukoni japo kidogo .

Kamwe usikubali kuitelekeza familia mkuu...narudia tena KAMWE usiitelekeze familia kaka....Mungu sio binadamu hata hili litapita kiongozi wangu.
 
True
Nishapitia hio hali ,huwezi amin kila unalogusa haliendi ,ukiwa kwenye hichi kipind external push inahitaji kwan hata akili inavurugwa kabisa ,unashindwa LA kufanya

Ni Mapito mkuu hope utavuka salama kipind hicho kigumu
 
Ahsante sana mkuu
Mkuu pole sana-naelewa vizuri hali unayopitia kaka....hebu nicheki PM tugawane nilicho nacho hapa mfukoni japo kidogo .

Kamwe usikubali kuitelekeza familia mkuu...narudia tena KAMWE usiitelekeze familia kaka....Mungu sio binadamu hata hili litapita kiongozi wangu.
 
Sijui cm yako ina thaman gani, lakini km ningekuwa mm nipo katika hali hiyo ningeuza cm nipate mtaji wa biashara ya kuuza mahindi ya kuchoma Dar inalipa na mtaji ni mdogo ni kupata sehemu tu hasa mitaa ya watu wengi au barabarani.

Au hata biashara ya kuuza maji ya kufunga (sijui km bado ipo). Kwa kifupi DSM fursa nyingi sana na ukiwa sio mvivu utatoka.
Kwangu wazo hili linatekelezeka chukua hili hebu nicheki 0755918095 tujaribu kutiana moyo japo mwenyewe ndohivo
 
Siko mbali na Mbezi mkuu nicheki tu kwahali hiyo hata nikikupa elfu mbili itasaidia usiache famili hilo lakuchoma mahindi kama ungeafiki ukaomba msaada kwa wadau hum kamtaji ungepata
 
Barikiwa sana mkuu- kwa hali aliyonayo huyu kiongozi hata hicho kinasaidia mkuu.
....amani ya Mungu idumu kwake,idumu na kwetu pia.
Siko mbali nambezi mkuu nicheki tu kwahali hiyo hata nikikupa elfu mbili itasaidia usiache famili hilo lakuchoma mahindi kama ungeafiki ukaomba msaada kwa wadau hum kamtaji ungepata
 
kaka, pole sana, ukiweza nitafute tarehe 24 mwezi nikusaidie umfungulie mtoto bima ya afya, kila kitu kuhusu bima kwangu, wewe pambania ugali, kuna kazi sehemu za Kimara wanakojenga uongee na watu utapata hata 2000 ya saidia fundi, nimetokea huko kimaisha, USIKIMBIE FAMILIA YAKO.
 
Nashukuru mkuu kwamoyo huo mm pia nifundi ila kwasasa sina kazi yakueleweka ila kuna mtu alitoa wazo achome mahindi ila tatizo ni mtaji ambao ni kama 60000 niwaombe wadau kama kuna mwenye chochote tufanikishe hili
 
Ahsante sana kaka kwa hii taarifa
Nawashukuru wote mliojitoa kumsaidia huyu ndugu mmefanikisha mgonjwa amepata matibabu nimefanikiwa kuonana nae tumezungumza mengi niwatoe wasiwasi juu yahuyu ndugu nimuhitaji kwasasa
 
Sawa mkuu ahsante sana na ubarikiwe. Ntakuja inbox
kaka, pole sana, ukiweza nitafute tarehe 24 mwezi nikusaidie umfungulie mtoto bima ya afya, kila kitu kuhusu bima kwangu, wewe pambania ugali, kuna kazi sehemu za Kimara wanakojenga uongee na watu utapata hata 2000 ya saidia fundi, nimetokea huko kimaisha, USIKIMBIE FAMILIA YAKO.
 
Jipe moyo, changamoto ni za muda tu. Tunakuombea. Ukiweza tafadhali tuwekee namba zako atakayejaliwa akuchangie.
 
Ukiona maisha yamezidu kukaza sio mbaya ukarudisha mpira kwa kipa

Naamanisha urudi kijijini kwenu ucje ukaolewa mji mzito huu
Ndio umeandika nini sasa? Kushauri bila kashfa huwezi khaaah
 
Back
Top Bottom