kama toyi la mtoto
Mi si mchoyo mchoyo ni huyu GOOGLE alietengeneza hii tena kinajiendesha chenyewe mama.
kinajiendesha kuelekea wapi?
Nikikiambia nipeleke kwa Mpenzi wangu miss chagga Pale anapopenda kula Mishikaki naandika GPRS ya eneo ilo kinakakwenda taratibu si unaona kijimtambo hapo juu.
we utakuja nacho hicho kidude kinachotembea chenyewe