Napita naomba rifti mtanisamehe hii ya peke yangu!!

NAPITA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
5,076
2,243
ga.png
 
we utakuja nacho hicho kidude kinachotembea chenyewe

Nitakuja nacho ili nikulingishie na wewe ukitafute uje umlingishie shem ila usije mwambia mi ndo nimekuonyesha kinapouzwa maana atanitoa roho na hivi alivyo na wivu kwako ha!ha!ha!
 
Wewe mchoyo sana ina maana hata kituoni huwezi nifikisha hata nidandie kwa juu
 
Nikikiambia nipeleke kwa Mpenzi wangu miss chagga Pale anapopenda kula Mishikaki naandika GPRS ya eneo ilo kinakakwenda taratibu si unaona kijimtambo hapo juu.

Hili neno naona umelirudia mara mbili kwa njia ile ile... Usirudie tena watakucheka watu... afu sio GPRS ni GPS, GPRS ni data service... na bado GPS hauandiki.. GPS ni system sio namba ya kuandika, unachofanya ni kuandika location ya mtu kwenye mtambo wenye GPS, au waweza kusema kuandika kwenye GPS pia japo si accurate sana... ila kuandika GPRS umeenda chaka sana aisee...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom