Napingana na watu wanaodai kuwa kwa muonekano wake hakufaa kuwa Mkuu wa Wilaya

Acha ukengemaji... mada hapa ni shepu ya "mkuu wa wilaya" fisimaji anataja majina ya watu ambao si wakuu wa wilaya akitaka tufananishe... afu na wewe ulivyo lofa unasema sikuisoma mada yako ya kitoto.

Hizi shule siku hizi mnasomea ujinga? Kwa hisani ya FaizaFoxy
Acha kujiaibisha hapa wewe,watu wanakushangaa kwa jinsi ulivyokurupuka,ujuaji mwingi hugeuka kua ujinga.
 
IMG-20181210-WA0024.jpg
 
Usiombe ukutane na mtu mwenye fikra za namna hiyo ofisini kwake ukiwa mwembamba, atakunyanyasa sana, uwezo wa kazi haupo katika vitambi na mashavu manene:
Hebu tujiulize Jaji Warioba ni mnene?
Yule wa Kisarawe ni mnene?
Ipo haja TISS kuwatumia mashushu wembamba sasa kuwanasa wahalifu
Kumbe wapo wapumbavu wa aina hii
 
Wasalaam,

Jana tulikuwa mahali tunaangalia taarifa ya habari kwenye TV tukiwa watano. Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoa wa Katavi ndugu Mhando alikuwa akigawa miche ya kahawa 22,000 tena bure kabisa kwa wananchi anaowaongoza.

Koroja kilikuja kwa kwa wenzangu wote kumuunga mkono mtazamaji mwenzetu aliyesema huyu mkuu gani wa wilaya? Mwone alivyo. Hafai kupewa UDC.

Mheshimiwa DC ni mwembamba na ana uso mkavu na alivaa vizuri tu japo kikazi zaidi. Kumbuka alikuwa akigawa miche kwa wakulima kupitia TBC television.

View attachment 965419

Nilichogundua sio yeye tu, hata Muhingo Rweyemamu aliyekuwa DC Morogoro niliwahi kusikia watu wakisema aaaaaaahhhh DC gani huyu? Kwa sasa ni marehemu.

Alikuwa mwembamba na ana uso mkavu pia.

Hivi kiongozi ndugu zangu ni yule mnene mwenye kitambi au? Apige skrabu na kuonekana mlaini au? Kiongozi kwa mtazamo wako aonekanaje mbele za watu?

Karibuni.
Hata aliyepo magogoni naye hana mwonekano wa urais,ana mwonekano wa kimaskini mno,alifaa kuwa mganga wa kienyeji,ndo maana watu wanateseka.
 
Back
Top Bottom