Napingana na Mhe. Lowassa, anaposema Rais Magufuli hana maono

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,618
12,280
Katika moja ya thread nimesoma ndani ya JamiiForums, inasema Mh Dk Magufuli ni rais asie na maono. Usemi huu umenifanya kuunganisha dots nakatuni za mwana siasa fulani ndan ya ccm ambaye ni kijana na ambaye ilisemekana kwamba alikuwa akiandaliwa as plan B ikiwa Mh Lowasa angekosa kuchaguliwa ndani ya ccm.

Ukweli ni kwamba kunauwezekano mkubwa mguno na kelele zimeanza toka kwa mh Lowasa ni dalili kuna mahali ameshaguswa na anaanza kusikia maumivu makali, ambayo kelele zake nikusema Mh Rais hana maono.

Swali gumu ambalo mimi na wewe mtanzania mwenzangu yatupasa kujiuliza kwa makini. Nikwanini huyu mh ameamua kuja na msemo huu wa rais wetu hana maono? Nilazima uwe na jicho la tatu,lanne mpaka saba kujuwa nini Mh Lowasa ali manisha!

Rais wa Tz nimiongoni wa viongoz wa africa amekataa ufalme na utukufu wanapata marais wa africa na badala yake amewageuza masikini na watu wenye kipato cha chini kuwa ndio wa falme na wenye thamani kwa wenye navyo. Kwa kiongoz wa africa lazima uambiwe huna maono!
Pili Mh Rais ktk hali isiyokuwa yakawaida kwa kiongoz wa africa, amewaambia matajiri walipe kodi na hataki mawe ya almas na kadi za kupewa michango toka kwa matajiri hili pia africa lazima uwe huna maono.
Tatu mh Rais amekataa sherehe na tafrija za kifahari kama rais nakupeleka mapesa yote kwa madawati na wagonjwa kwenye ma hosp. Kwa afrika huyu sio tu hana maono ila ni chizi hajuwi kuila nchi.

Mh Magufuli amekataa kujinufaisha yeye na familia yake kwa mara nyingine tena huyu hawez kuwa na maono, wakat wenzake wanawapa tenda na miradi mikubwa familia zao yeye anatoa tenda kwa mashirika yenye viwango na ubora wa kimataifa no more richmond. Lazima lowasa mguno wake uwe mkubwa eti Rais hana maono!
Kuzuwia safari za nje na kukata matumiz ya ovyo ambayo hata Rwanda anaiga ni lazima lowasa aseme mkubwa hana maono.

Tusi hili ambalo limejificha ktk lugha nyepesi ndio mwanzo na mwisho wa matusi kwa Rais wetu maana baada yajipu kutumbuliwa atakuwa raia mwema mwenye mapenz mema kwa mifugo yake Monduli.

Napenda kumwambia mh Lowasa wa tanzania sio wajinga kiasi hiko anafikiri, wala watu hawajapofuka kwa vijisent vyake taifa hili limepata mwana mapinduzi wa kweli ndani ya chama cha mapinduzi. Hatuna rais asie na maono kama ukawa! Ila tuna genius president ambaye dunia nzima wanamtaja. Ukienda Europ wanalitaja jina Maguful, Africa chanel zote kubwa anatajwa, Asia ndio usiseme, Amerika yote na Australia New president of Tz ndio habari ya mjini. Kwanini? Kwasababu anamaono ambayo hata wazungu wanaogopa. Mungu ibariki Tz pamoja na rais wa jamuhur ya muungano wa Tz Dk Magufuli. Amen.
 
Good comment, ukitaka kujua tofauti ya derivarance ya serikali kwa wakati huu na uliopita zungumza na wakulima, wafugaji na watanzania maskini( forming the largest portion of our population) na siyo the few who are dwelling in jamii forum. Watakueleza huduma wanayopata sasa hivi toka kwenye public sector ni unbelievable coz its comparatively superb!.
Sisi ambao atutumii services kama the commoners, na atutaki kujua kinachoendelea. hatutajua!
 
Katika moja ya thread nimesoma ndani ya jamii forums, inasema Mh Dk Magufuli ni rais asie na maono. Usemi huu umenifanya kuunganisha dots nakatuni za mwana siasa fulani ndan ya ccm ambaye ni kijana na ambaye ilisemekana kwamba alikuwa akiandaliwa as plan B ikiwa Mh Lowasa angekosa kuchaguliwa ndani ya ccm.

Ukweli ni kwamba kunauwezekano mkubwa mguno na kelele zimeanza toka kwa mh Lowasa ni dalili kuna mahali ameshaguswa na anaanza kusikia maumivu makali, ambayo kelele zake nikusema Mh Rais hana maono.

Swali gumu ambalo mimi na wewe mtanzania mwenzangu yatupasa kujiuliza kwa makini. Nikwanini huyu mh ameamua kuja na msemo huu wa rais wetu hana maono? Nilazima uwe na jicho la tatu,lanne mpaka saba kujuwa nini Mh Lowasa ali manisha!

Rais wa Tz nimiongoni wa viongoz wa africa amekataa ufalme na utukufu wanapata marais wa africa na badala yake amewageuza masikini na watu wenye kipato cha chini kuwa ndio wa falme na wenye thamani kwa wenye navyo. Kwa kiongoz wa africa lazima uambiwe huna maono!
Pili Mh Rais ktk hali isiyokuwa yakawaida kwa kiongoz wa africa, amewaambia matajiri walipe kodi na hataki mawe ya almas na kadi za kupewa michango toka kwa matajiri hili pia africa lazima uwe huna maono.
Tatu mh Rais amekataa sherehe na tafrija za kifahari kama rais nakupeleka mapesa yote kwa madawati na wagonjwa kwenye ma hosp. Kwa afrika huyu sio tu hana maono ila ni chizi hajuwi kuila nchi.

Mh Magufuli amekataa kujinufaisha yeye na familia yake kwa mara nyingine tena huyu hawez kuwa na maono, wakat wenzake wanawapa tenda na miradi mikubwa familia zao yeye anatoa tenda kwa mashirika yenye viwango na ubora wa kimataifa no more richmond. Lazima lowasa mguno wake uwe mkubwa eti Rais hana maono!
Kuzuwia safari za nje na kukata matumiz ya ovyo ambayo hata Rwanda anaiga ni lazima lowasa aseme mkubwa hana maono.

Tusi hili ambalo limejificha ktk lugha nyepesi ndio mwanzo na mwisho wa matusi kwa Rais wetu maana baada yajipu kutumbuliwa atakuwa raia mwema mwenye mapenz mema kwa mifugo yake Monduli.

Napenda kumwambia mh Lowasa wa tanzania sio wajinga kiasi hiko anafikiri, wala watu hawajapofuka kwa vijisent vyake taifa hili limepata mwana mapinduzi wa kweli ndani ya chama cha mapinduzi. Hatuna rais asie na maono kama ukawa! Ila tuna genius president ambaye dunia nzima wanamtaja. Ukienda Europ wanalitaja jina Maguful, Africa chanel zote kubwa anatajwa, Asia ndio usiseme, Amerika yote na Australia New president of Tz ndio habari ya mjini. Kwanini? Kwasababu anamaono ambayo hata wazungu wanaogopa. Mungu ibariki Tz pamoja na rais wa jamuhur ya muungano wa Tz Dk Magufuli. Amen.
Maono yanaanzia kwenye katiba itakayozaa sheria nzuru zitakazozaa taasisi imara, ukishindwa hapo hata kama ufanye nini utakua unakimbiza upepo, jaribu kwenda kwenye maduka sheria ya kodi ilivyoongeza kodi mara dufu na wakijua wtz vipato vyao ni vya chini, utamsaidiaje mlaji wa mwisho ambaye pesa yake ni kidogo?
 
Kesho Arsenal anashinda caaaaap.....wazee wa mikeka, mpeni arsenal mtajirike.
 
Katika moja ya thread nimesoma ndani ya jamii forums, inasema Mh Dk Magufuli ni rais asie na maono. Usemi huu umenifanya kuunganisha dots nakatuni za mwana siasa fulani ndan ya ccm ambaye ni kijana na ambaye ilisemekana kwamba alikuwa akiandaliwa as plan B ikiwa Mh Lowasa angekosa kuchaguliwa ndani ya ccm.

Ukweli ni kwamba kunauwezekano mkubwa mguno na kelele zimeanza toka kwa mh Lowasa ni dalili kuna mahali ameshaguswa na anaanza kusikia maumivu makali, ambayo kelele zake nikusema Mh Rais hana maono.

Swali gumu ambalo mimi na wewe mtanzania mwenzangu yatupasa kujiuliza kwa makini. Nikwanini huyu mh ameamua kuja na msemo huu wa rais wetu hana maono? Nilazima uwe na jicho la tatu,lanne mpaka saba kujuwa nini Mh Lowasa ali manisha!

Rais wa Tz nimiongoni wa viongoz wa africa amekataa ufalme na utukufu wanapata marais wa africa na badala yake amewageuza masikini na watu wenye kipato cha chini kuwa ndio wa falme na wenye thamani kwa wenye navyo. Kwa kiongoz wa africa lazima uambiwe huna maono!
Pili Mh Rais ktk hali isiyokuwa yakawaida kwa kiongoz wa africa, amewaambia matajiri walipe kodi na hataki mawe ya almas na kadi za kupewa michango toka kwa matajiri hili pia africa lazima uwe huna maono.
Tatu mh Rais amekataa sherehe na tafrija za kifahari kama rais nakupeleka mapesa yote kwa madawati na wagonjwa kwenye ma hosp. Kwa afrika huyu sio tu hana maono ila ni chizi hajuwi kuila nchi.

Mh Magufuli amekataa kujinufaisha yeye na familia yake kwa mara nyingine tena huyu hawez kuwa na maono, wakat wenzake wanawapa tenda na miradi mikubwa familia zao yeye anatoa tenda kwa mashirika yenye viwango na ubora wa kimataifa no more richmond. Lazima lowasa mguno wake uwe mkubwa eti Rais hana maono!
Kuzuwia safari za nje na kukata matumiz ya ovyo ambayo hata Rwanda anaiga ni lazima lowasa aseme mkubwa hana maono.

Tusi hili ambalo limejificha ktk lugha nyepesi ndio mwanzo na mwisho wa matusi kwa Rais wetu maana baada yajipu kutumbuliwa atakuwa raia mwema mwenye mapenz mema kwa mifugo yake Monduli.

Napenda kumwambia mh Lowasa wa tanzania sio wajinga kiasi hiko anafikiri, wala watu hawajapofuka kwa vijisent vyake taifa hili limepata mwana mapinduzi wa kweli ndani ya chama cha mapinduzi. Hatuna rais asie na maono kama ukawa! Ila tuna genius president ambaye dunia nzima wanamtaja. Ukienda Europ wanalitaja jina Maguful, Africa chanel zote kubwa anatajwa, Asia ndio usiseme, Amerika yote na Australia New president of Tz ndio habari ya mjini. Kwanini? Kwasababu anamaono ambayo hata wazungu wanaogopa. Mungu ibariki Tz pamoja na rais wa jamuhur ya muungano wa Tz Dk Magufuli. Amen.
Ujumbe wa maana sana ndugu yangu. Haiwezekani majirani zetu wakione cha kujifunza kutoka kwa rais wetu halafu Lowassa aseme eti hana maono!!. Wenye kupenda kuishi kwa ujanja ujanja na dili nyingi zilizojaa dhuluma, hawawezi kuyaona maoni ya awamu ya tano, lazima wataongea kwa kutumia lugha ya wivu.
 
CC Tumainiel:
Umemwelewa Lowasa au unaelewa maana ya vision?
Vision siyo kutumbua majipu wala ziara za kustukiza it's more than that! Uskimbilie kumlaumu Lowasa kwa kulisemea hilo, tafuta maana ya maono kisha uyatanabaishe ni yapi yaliyo wazi kwa mkuu wa nchi ambayo wewe unaiona na inatekekezwaje. Vinginevyo unawinda vijinafasi vya uteuzi vilivyobaki.
Pia, rejea katiba ya nchi yako kuna ibara inayomlinda mtu kutoa maoni yake. Wewe ni nani hadi umjibie aliyeambiwa.
 
Nampongeza lowassa kwa kutuondolea urais wa mazoea..nampongeza magufuli kwa kuendelea kuchapa kazi!!
 
Magufuli maono ayatoe wapi? Urais wenyewe alikurupuka hata mpango alikuwa hana, mwenyewe alisharizika na ubunge wake!
 
CC Tumainiel:
Umemwelewa Lowasa au unaelewa maana ya vision?
Vision siyo kutumbua majipu wala ziara za kustukiza it's more than that! Uskimbilie kumlaumu Lowasa kwa kulisemea hilo, tafuta maana ya maono kisha uyatanabaishe ni yapi yaliyo wazi kwa mkuu wa nchi ambayo wewe unaiona na inatekekezwaje. Vinginevyo unawinda vijinafasi vya uteuzi vilivyobaki.
Pia, rejea katiba ya nchi yako kuna ibara inayomlinda mtu kutoa maoni yake. Wewe ni nani hadi umjibie aliyeambiwa.
Labda nikushauri ukasome ibara ya 18 [1-2] aliposema kutoingiliwa na mtu yeyote hakumanisha uandike hata pumba usijibiwe alimanisha katika mapana na marefu yake pale itaitajika. ukisoma kile nimeandika nimeandika kwa umakini sana nikujuwa wapo vijana wa Lowasa mnatumika vibaya kupotosha umma kama wewe ona umekuja na mikwara katiba yenyewe hata uijuwi. Sii kweli kile ameandika mh Lowasa wala hakumanishi hicho umendika alimanisha hayo nilio pambanua, tunajuwa taifa hili adui mkubwa wake sio vyama vya siasa ila ni watu wabaya walio wahi pata nafasi ktk taifa kupotosha vijana ambao ndio taifa la kesho. Hatuwezi kukaa kimya wakati katiba inakataza kutumia uhuru wa kutoa maoni kudanganya umma ilikupata wafuasi wa kisiasa. Nawezakusema ikiwa sharia ingekuwa vizuri Lowasa kamkejeli au kumdharau rais ambaye bara la afrika linamuona mzalendo wa kweli. kaa kimya usome katiba usitishe watu ukifikiri vilaza. Hapa kazi tu mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom