Napinga watanzania sio Wanyonge

vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
6,284
10,287
Kuna move imezuka awamu hii ya waTanzania kuitwa na kujiita wanyonge, hii haikubaliki kwani neno mnyonge ni neno lenye kukatisha tamaa, lisiloleta maendeleo na lenye kutufanya tuzidi kubweteka, Angalia maana ya neno Mnyonge kutoka kwenye Kamusi huru..

  • 1 mtu dhaifu; mtu asiyekuwa na nguvu.

  • 2 mtu mwenye tabia ya upole na ya kunyenyekea.

  • 3 mtu wa hali ya chini.
Kwa maana hiyo mimi kama VVM Sio mnyonge na wala sitakaa niwe mnyonge, kwani kwa maana ya unyonge, unyonge sio sifa, unyonge hautaleta chakula mezani na wala sikuwahi kujiona mnyonge na kwamba nahitaji mtu wakunishika mkono.
a1271599741_10.jpg
 
Hiyo picha inahusika..?

Kama wewe sio mnyonge serikali hii sio yako, jiandae kutekwa na kuteswa.... tunawafanya muwe wanyonge ili tukiwaletea ‘daraja’ msifu na kuliabudu Jiwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom