Napinga vikali Uchunguzi wa Polisi na kumwita Hamza ‘gaidi’

You should ask yourself why he target policemen and not other people? A terrorist targets anybody even women and children. A terrorist cares less provided he fulfills his mission!
Unafikiri kwa bastola yake angeua raia wangapi kabla askari hawajamuwahi. Alianza na askari tena wenye silaha ili ajiongezee uwezo wa kushambulia, alipoona kuna askari wanamshambulia akaona a-deal na hao kwanza. Raia ni soft target.
Halafu wananchi waache ujinga, niliona clip fulani kuwa baada ya Hamza kupigwa risasi walitaka kwenda kushuhudia, msifanye hivyo maana angekuwapo gaidi mwingine anawalipua na kuua wengi.

Jamaa aliyemshusha Hamza kwenye gari ambalo shuhuda mmoja alisema ni TOYOTA IST, ameshahojiwa? Maana ni kama alimshusha akiwa tayari na bastola yake mkononi ( I stand to be corrected)
 
Gaidi,maana take "terrorist",anatisha watu. Watu walikuwa wamejikunyata kwenye Ile daladala,kwa hiyo Hamza alikuwa zaidi. Na ametamka"Kama mlikuwa mnadhani mtafanya nini sijui,mmekosea. Sisi vijana wa Kiislamu tuko tayari kuutoa uhai wetu kwa ajili ya Allah." DCI amemnukuu Hamza alipomwita mfia dini.
You should ask yourself why he target policemen and not other people? A terrorist targets anybody even women and children. A terrorist cares less provided he fulfills his mission!
You are very stupid, ugaidi upo kwa grade, kuna Political motivated, na wengine! Lengo lako ni kutaka kuwashushia Police lawama, Sio sawa.
 
Unafikiri kwa bastola yake angeua raia wangapi kabla askari hawajamuwahi. Alianza na askari tena wenye silaha ili ajiongezee uwezo wa kushambulia, alipoona kuna askari wanamshambulia akaona a-deal na hao kwanza. Raia ni soft target.
Halafu wananchi waache ujinga, niliona clip fulani kuwa baada ya Hamza kupigwa risasi walitaka kwenda kushuhudia, msifanye hivyo maana angekuwapo gaidi mwingine anawalipua na kuua wengi.

Jamaa aliyemshusha Hamza kwenye gari ambalo shuhuda mmoja alisema ni TOYOTA IST, ameshahojiwa? Maana ni kama alimshusha akiwa tayari na bastola yake mkononi ( I stand to be corrected)
Baada ya kuwatwanga risasi polisi Hamza aliendelea kutamba barabarani kwa zaidi ya nusu saa akiwa na bunduki alizoziteka kutoka kwa askari. Wakati wote huo magari na raia walikuwa wanapita kabla ya barabara kufungwa. Hivyo hoja yako haina mashiko!
 
You are very stupid, ugaidi upo kwa grade, kuna Political motivated, na wengine! Lengo lako ni kutaka kuwashushia Police lawama, Sio sawa.
Nenda kale kwa dada yako maana huna unachoelewa!
 
. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.
Binafsi hapa ndio niliwadharau sana askari wetu na nilitambua pasipo na shaka kuwa hakuna weledi kabisa ktk kazi zao.
Leo hii tungejua ukweli hasa wa kilichomfanya Hamza hadi akafanya mauaji yale, kwani kuamini taarifa za mapolisi wetu ni ngumu sana kwani ni wapika taarifa wazoefu na ktk matukio mengi sana.
 
Anaweza kuwa aliwaua police ili awanyang'anye siraha na kutokomea nazo nakuweza kuzitumia kati ugaidi wake.
Hapana sihivyo unavyofikiri
Aliamua kufanya vile akiamini bastola isingemfikisha popote hivyo ilimbidi apate SMG ili awaangamize vzuri
 
Chombo chochote alichokuwa anatumia kuangalia iwe laptop , iwe simu nk ni rahisi sana kupata history ya websites alizokuwa anaagalia - Kuna software za kufanya hivyo
Kwa hiyo wewe kwa kuangalia sinema za vita au ujambazi umeshakuwa askari au jambazi?
 
Hunadhani wanafunikaje weakness zao wasipomwita gaidi? Muhimu ccm nap wajitokeze nap wakiri kuwa walikuwa na mwanachama na mfadhili gaidi Mana polisi being the party wing imeshautangazia ulimwengu kuwa m2 wao alikuwa gaidi.
 
CCM lazima ijitathmini inaweza ikawa na magaidi wengi!
 
Ilikuwaje Rais Samia alikuwa anawashutumu polisi dakika chache kabla ya Hamza kuingia mtaani? Who knew what,when?
Kwa nini rais alikwenda ku chat na polisi,wakati siku chache zilizopita alikwenda ku chat na polisi?
 
Hamza hakuwa gaidi. Wale ndugu zake ndio gaidi. Ulimsikia yule mjomba wake Hamza alivyokuwa anaongea pale katika maziko?
 
Mbowe yupo hai lkn kapewa kesi ya gaidi, sembuse marehemu Hamza! Hawakawii kutuambia ni mtoto wa Osama Bin Laden. 🤣
 
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.

2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.

3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.

4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.

5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.

Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.

Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.
Hamza hakuwa gaidi Bali alikuwa Shujaa Mfia-Haki, Mpinga dhulma na uporaji, Mpinga Uonevu, Mpigania Haki wa Kweli&Dhati kutoka moyoni, Mkombozi wa Wahanga wa Dhulma za Kiutawala. All in all, Hamza alikuwa "Sauti ya Wasio na Sauti" kwa sababu "Actions Speaks Louder Than Words". Hivyo, yafaa watu wote Wapenda Haki na Wapinga Dhulma" wanapaswa kumuunga mkono Hamza na kumuenzi daima kwa kuwa alikuwa "Balozi mzuri" wa kufikisha "Ujumbe Mzito" kwa wahusika.
Mwisho: "Kuua ni Dhambi, Lakini, Kuua 'Mtu au Watu Wauaji wa dhulma" Siyo Dhambi na wala siyo kosa Kisheria, Bali ni Kitendo cha Kishujaa cha Kujihami Dhidi ya Adui Hatari".
 
Back
Top Bottom