Napinga vikali Uchunguzi wa Polisi na kumwita Hamza ‘gaidi’

Ukweli ni Huu...
IMG_20210822_215259.jpg
 
Hamza ni Gaidi kwa maana ya kwamba, tokea afanye lile tukio na ugaidi wake unaanza hapo kwa public. Sbb alikuwa na viashiria vyote vya ugaidi kabla, ikiwemo kujifunza ugaidi kupitia mitandao, radical Islam, kufuatilia Al Shabab, kujirikodi video akiwa kabeba bastola akionyesha ishara ya kuua. Ila haikuwa wazi kwa public labda sbb alikuwa anajiandaa kufanya tukio kwa siri bila mtu yeyote kujua na akalifanya. Ugaidi hauzaliwi nao, unaanza muda ukianza matukio kama ya Hamza, kuua Askari etc, na sbb alikuwa na viashiria, ndio maana alipata ujasiri wa kuua askari wetu.

Hivi nyie mnafikir askari wetu sio binadamu kama sisi? Hamza kauawa mmoja tu, askari 3 na 1 mlinzi wa kampuni binafsi wamekufa, yote kasababisha Hamza, mnatetea nini humu? Nyie watu wa ajabu sana, nyoko sana. 😡😡😡
 
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.

2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.

3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.

4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.

5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.

Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.

Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.
Jamaa hakuwa gaidi,angekuwa gaidi lazima angefsnya tukio kubwa la Mauaji kwa kuua watu wengi,zile daladala zote zilizokuwa pale zingeshambuliwa kwa risasi.
Hawa polisi wetu ni majambazi yenye leseni.
Kama ni jeshi hili hili lilomfungulia Kada wa Chadema kesi ya kusafirisha madawa ya kulevya kutoka Pakistan,kada mwenyewe hana passport,hajawahi kuvuka mpaka wowote sasa huko Pakistan alienda vipi?jeshi hili haliwezi kusema ukweli.
Hamza alikuwa kada wa ccm,ametoa michango mingi,leo wanasema hakuwa na hela,ziliisha zamani,kama hakuwa na hela,hiyo shule aliyoahidi kuijenga huko kitete,angejenga kwa kutumia nini?
Ila na ndugu zetu wa upande wa pili,Richa ya dini yao kuhusika,wamekaa kimya!!!hakuna rabsha may be kwa vile mpangaji wa magogoni ni WA dini yao,angekuwa ni mkorinto,sijuhi ingekuwaje????
 
Hawajasema kuwa ni gaidi. Wamesema alikuwa na viashiria vya ugaidi.

Kabla ya tukio lile lililosababisha mauti yake na askari kadhaa.

Alijirekodi video akiwa ameshika bastola huku akiimba nyimbo za uhamasishaji hasa zinazotumiwa na vikundi vya ugaidi.

Ni kweli anaweza kuwa hakuwa gaidi lakini alikuwa na viashiria vya ugaidi.

Na mwisho ni namna alivyofanya tukio lenyewe ,linafanana na ugaidi.

Tusitetee tu kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivii watizamaji wa porno nao ni porno actors/ actress, kukutwa na video za porno kweny simu yako inamaanasha una viashiria vya kuwa actor wa porno.
Bado saafikiani na swala la kusema ni gaidi kwa sbabu alizozitoa
 
Upelelezi huwa unaanzia kwenye vitu vidogo sana,na hivyo vitu vidogo hukupeleka kugundua vitu vikubwa. Kumbuka hii ni taaluma,si sahihi kudharau tu kila kitu kinachosemwa na polisi kwasababu tu wana mapungufu kiutendaji upande fulani.

Awe Hamza alikuwa gaidi au mtu mwema ndio yametokea yaliyotokea,ameua watu wanne,hivyo alipoteza sifa ya kuwa mwema.

Na katika mazingira kama yale alikuwa hatarishi nadhani ilikuwa vyema naye kuuwawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita ni ya Hamza na polisi harafu hao hao polisi wanapewa kazi ya kuchunguza na kutoa taarifa kwa Wananchi wakati wao wanataka kujitoa kwenye hiyo kesi...yaani haiwezekani mtu mwenye akili timamu akawafata polisi tuu na magaidi huwa wanaua mpaka raia ili kukamilisha malengo yao nadhani ipo siku tutajua ukweli ila sio hii taarifa ya kupikwa..
Kwani kuna kesi gani,nadhani kulikuwa na tukio ambalo sidhani kama limezaa kesi yoyote.limesababisha uchunguzi wa kutaka kujua tu hamza alikuwa mtu wa aina gani?na kama wamegundua ana viashiria vya ugaidi,basi sababu zilizofanya aue polisi ni za kigaidi.
Kaua polisi, nae kauwawa na polisi si basi yameisha...

Kwani polisi wasingechunguza na kutoa taarifa kwa wananchi tungewafanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa hawawajui magaidi Kuna siku watakutana kaka gaidi na kumuita hamza ni kakibaka tuu ukutane na gaidi afu bahati mbaya ana vile vimikoti wanavyojirekodigi press zao vile vya kuwekea magazine kama alivyokuwaga anavaa osama Biladeni
 
Gaidi,maana take "terrorist",anatisha watu. Watu walikuwa wamejikunyata kwenye Ile daladala,kwa hiyo Hamza alikuwa zaidi. Na ametamka"Kama mlikuwa mnadhani mtafanya nini sijui,mmekosea. Sisi vijana wa Kiislamu tuko tayari kuutoa uhai wetu kwa ajili ya Allah." DCI amemnukuu Hamza alipomwita mfia dini.
 
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.

2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.

3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.

4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.

5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.

Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.

Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.

Yani wewe utakuwa mjinga wa kutupwa; Hata uchunguzi haukutakiwa, why?

1. Religious motivated.
2. He targeted Police and not others.
3. He was ready, and he knew he would die.
4. Amekuwa na affiliation na magaidi,

Nipe definition ya gaidi kwa uelewa wako?
 
CCM chama cha kigaidi! Tofauti yake na ISIL,AL-SHABAAB ni kwa vile kinaongoza dola.
 
Kizazi Cha shetani kinazidi kujiimarisha kwa kutetea mambo ya kishetani tu kwasababu wanadhani chama Chao ndiyo kila kitu na ILI wajiongezee stress basi ni kuwa na chuki moyoni na kupinga kila kitu.

Kwa vyovyote utakavyo penda iwe bado hakuna uhalali wa kufanya alichokifanya kipenzi chenu Hamza na alichokipata ndiyo stahili yake kusingekuwa na mbadala maana alikuwa na Risasi zaidi ya 50 hivyo kuokoa watu wengi ni lazima kumtuliza MUUAJI.

Nakufanisha na mchawi kwa kushabikia ushetani kwa maslahi ya itikadi yako! Sijui unajiweka wapi endapo makosa yatatokea mkapewa mamlaka mtakuwa wabaya kuliko hao mnao wanyoshea vidole .
Kuokoa watu wengi gani wakati yeye aliwaacha hao watu wengi na kudili na polisi na tena mwishoni alisimama kabisa katikati ya barabara sasa polisi wenye mafunzo walishindwa nini kumdhibiti hadi wakawa wanapiga risasi pembeni na badala ya kumlenga mlengwa tena isingehitaji hata kumuuwa ila ajabu walikuwa wanamshambulia maiti mirisasi kibao.

Hamza angetaka kushambulia hao watu wengi sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine kwa polisi wale ambao wanashindwa kumlenga mtu ambaye kasimama katikati ya barabara ila wanapiga risasi pembeni.
 
Yani wewe utakuwa mjinga wa kutupwa; Hata uchunguzi haukutakiwa, why?

1. Religious motivated.
2. He targeted Police and not others.
3. He was ready, and he knew he would die.
4. Amekuwa na affiliation na magaidi,

Nipe definition ya gaidi kwa uelewa wako?
You should ask yourself why he target policemen and not other people? A terrorist targets anybody even women and children. A terrorist cares less provided he fulfills his mission!
 
Kwa hiyo unakiri kuwa jamaa alijuwa na akili ya kigaidi.!!! Lipumbafu kabisa.
Wee mburula kutwanga askari risasi siyo ugaidi bali kuwatia adabu wazingatie maadili yao ya kazi!
 
Polisi wanadai Hamza aliishi kisiri na amejifunza ugaidi kupitia kuangalia mitandao ya ISS na Al Qaeda, je wamejuaje?
Chombo chochote alichokuwa anatumia kuangalia iwe laptop , iwe simu nk ni rahisi sana kupata history ya websites alizokuwa anaagalia - Kuna software za kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom