Napinga vikali Uchunguzi wa Polisi na kumwita Hamza ‘gaidi’

Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.

2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.

3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.

4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.

5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.

Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.

Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.

Mkuu ulikuwa unafanya comparison na movie gani uliyoitazama. Who are you? Tell us more about yourself. We mwanachama wa CHadema?
 
Matokeo yake mmekosa taarifa muhimu ku-justfy ugaidi wake!

Leo nimekosa kazi nakusoma mkuuu arguments zako. Unaonekana mpumbavu sana Afu mbaya zaidi mbishi na una majibu yako Kabisa. Hutaki kusoma wala kuwaelewa Wenzako. Who are you mkuu?
 
Hamza alikuwa "suisaidi tera" ,ugaidi amejifunza youtube kwa kutazama matukio ya alshabab na ISIS- Wambura
 
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.

2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.

3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.

4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.

5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.

Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.

Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.
Au wanataka kutuaminisha kwamba kuna gaidi wa kujitegemea?
 
Nmemsikiliza wambura sijamuelewa kabisa,nadharia ni nyingi sana juu ya maisha ya hamza na wapi kajifunza ugaidi,uchunguzi urudiwe au ipewe mamlaka nyngine kuchunguza tukio hili.
Eti kajifunza ugaidi kwenye mitandao,inamaana hata sisi tuanaoangaliaga movie za kivita ni wanajeshi tunajiandaa na vita?
 
Hawajasema kuwa ni gaidi. Wamesema alikuwa na viashiria vya ugaidi.

Kabla ya tukio lile lililosababisha mauti yake na askari kadhaa.

Alijirekodi video akiwa ameshika bastola huku akiimba nyimbo za uhamasishaji hasa zinazotumiwa na vikundi vya ugaidi.

Ni kweli anaweza kuwa hakuwa gaidi lakini alikuwa na viashiria vya ugaidi.

Na mwisho ni namna alivyofanya tukio lenyewe ,linafanana na ugaidi.

Tusitetee tu kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mtu kuua askari ni ugaidi,na askari kuua raia ni ujambazi duh.
 
Kizazi Cha shetani kinazidi kujiimarisha kwa kutetea mambo ya kishetani tu kwasababu wanadhani chama Chao ndiyo kila kitu na ILI wajiongezee stress basi ni kuwa na chuki moyoni na kupinga kila kitu.

Kwa vyovyote utakavyo penda iwe bado hakuna uhalali wa kufanya alichokifanya kipenzi chenu Hamza na alichokipata ndiyo stahili yake kusingekuwa na mbadala maana alikuwa na Risasi zaidi ya 50 hivyo kuokoa watu wengi ni lazima kumtuliza MUUAJI.

Nakufanisha na mchawi kwa kushabikia ushetani kwa maslahi ya itikadi yako! Sijui unajiweka wapi endapo makosa yatatokea mkapewa mamlaka mtakuwa wabaya kuliko hao mnao wanyoshea vidole .
 
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.

2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.

3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.

4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.

5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.

Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.

Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.
Wenzako wameingia field wakafanya uchunguzi,wewe unafanyia uchunguzi JF,sio kila kitu ni cha kupinga HAMZA ana viashiria vyoye vya ugaidi,kua CCM sio hoja,CCM ni kichaka tu.
 
Anajificha vipi wakati mwaka Jana tu alikua anapiga kampeni akishirikiana na polisi kuiweka CCM madarakani?

Yule ni Msomali.
Wasomali ni watu wasiopenda kudhulumiwa japo wao wanadhulumu.

Wanasimamia sana haki zao na Mali zao .
Kuna waziri Fulani ni msomali na ni mbunge pia hua Mara nyingi alikua anaongea kwa hisia sana akivituhumu vyombo vya dola kumtishia kwa silaha.
Nadhani wangethubutu kumdhulumu yule kada wa chama wangekutana na moto wake mana anaichukia dhulma kwa kiwango cha juu sana.

Sasa hili la Mhalifu na muuaji Hamza inabidi lifanyiwe kazi kimya kimya kupitia taasisi nyingine chini ya usimamiza wa TISS ili kuondoa kashfa ya CCM kuwekwa madarakani na magaidi hasa ukizingatia wameshahusishwa na ugaidi wa kidini kwa mujibu wa Wambura katika kubambika hukumu kwa marehemu Hamza. Nadhani kuna watu wanataka kuweka raisi wao 2025 kwa chuki za kidini hili halina ubishi.
Mama anahujumiwa sana lakini kwa hisia za mbali kuna kaudini kana tengenezwa ili watu waone kuwa watu wa dini Fulani wanashabihiana na ugaidi.
Kuna mawaziri sio wazuri kwa utawala wa awamu hii. Wanashirikiana na watu ndani ya dola kuvuruga utawala wa mama.

Jambo LA msingi ni Mama kutuma vyombo vyake kimya kimya.
Kwanza kwenda TCRA kupata mzunguko mzima wa miamala na mawasiliano wa Marehemu Hamza gaidi binafsi.
Pili kuchunguza kuwa Je, ni kweli kuwa Hamza hakuwa na uwezo wowote wa kifedha hata kwenye miamala ya simu.?
Kutumia TCRA watabaini kuwa je, Hamza hakuwa na mizunguko ya fedha kwenye simu zake kibiashara au kwa jamaa zake ? Mana tumeambiwa kuwa hakuwa na uwezo wowote na alikua ni mtu wa kujificha. Sasa tubaini kuwa je, ni kweli kuwa hakuwa na fedha wala uwezo hata wa kujenga Ofisi ya Chama ya Tawi ?

Na pia Mh. Mama SSH atume watu wake wanaomheshimu na kumthamini na kuuthamini Uongozi wake na kuwa tayari kupigania kiti chake kwa manufaa ya Taifa na utaifa wafuatilie kule kwenye migondi unayosemwa kuwa ni ya kwake wakawahoji watu kuwa Hamza kwa Mara ya mwisho alifika lini kule kufuatilia masuala ya madini ?

Lakini pia Watu waaminifu na watiifu kwa Rais wafuatilie kwenye benki zisizo na riba kama Hamza aliwahi kumiliki Akaunti huko mana wasomali hua hawali Riba na riba kwao ni Haramu sana.

Jambo lingine ni kuwa silaha yake aina ya Pistol aliilipia lini kwa Mara ya mwisho !!?

Kama mama atatumia wasiri wake na kubaini kwa wazi kuwa Wambura na tume ya polisi wamedanganya au wameficha ukweli au wamechunguza kinadharia kwa lengo la kujisafisha wakati vitendo hivyo vinafanywa sana na baadhi ya askari wasio waaminifu na wanapopiga pesa wanazitumia kuhongana ili kulindana basi mama achukue hatua haraka.

Lakini pia mbona kuna Mkubwa mmoja ndani ya polisi alisikika sana akiwakemea askari wanaotumia silaha kufanya ujambazi na kudhulumu Mali za watu?
Nadhani alikua ni RPC mwanamama mahiri sijui alikua ni mkoa gani ila alikemea sana na baadae nasikia alitolewa kuwa ameliaibisha jeshi kwa kusema hadharani uovu unaofanywa na polisi.

Ni juzi tu huko Handeni polisi wametuhumiwa kushika kwa nguvu wake za watu na mabinti za watu na kuwanyanyasa kingono. Hivi mtu anaona mtoto wake wa kike au binti ake wa kike anaingiliwa kwa nguvu na mtu aliyeshika bunduki ,anakua na hasira kiasi gani endapo atafanikiwa kuipata hiyo bunduki??
Hivi mtu akilipa kisasi kwa mtu aliyebaka binti yake utaita ni ugaidi au ni kisasi tu cha mambo binafsi.
Kwa nini watu wafanye mambo yao binafsi kwa tamaa zao kwa mgongo wa dola halafu ionekane kuwa ni masuala ya kazi?
Nani anaweza akaajiriwa ili akabake wake za watu na mabinti za watu ?

Ni vizuri sasa mama akateua IGP kutoka Jeshi la wananchi. Ili imani kwa jeshi la polisi irudi.
Hata jeshi la polisi halina imani na Jeshi la polisi. Ndio maana hakuna anayependa ndugu yake apelekwe polisi. Hawana imani na anakopelekwa !! Hata IGP hana imani na Jeshi la polisi. Hawezi akaacha ndugu yake akalazwa polisi mana hapaamini.!!

Kuondoa dhana mbaya kwa Jeshi la polisi ni vema IGP akateuliwa meja Jenerali kutoka JWTZ ,wasaidizi wake watatu wawe pia ni mabrigadia jenerali wengine wawe ni Polisi na Askari magereza wawili. Hii itavunja mtandao Fulani ndani ya polisi unaojali maslahi. Uhalifu na ugaidi unatokana na askari kuwa bize kutafuta madili ya pesa na rushwa za magendo huku vibaka ,waporaji na wauza bangi wakizidi na watu kukatana mapanga na wanafunzi kubakwa vikiwa vinaongezeka.
Kuna miji yenye uhalifu sana kama Arusha miaka nenda rudi ,lakini ukichunguza utagundua kuwa kuna ushirika wa kimaslahi na baadhi ya polisi wasio waadilifu na ndio inakua fursa ya kujitafutia Mali isivyo halali. Ukiona mahali kuna uhalifu sana ndipo unapokuta baadhi ya polisi wasio waaminifu wanageuka kuwa wabia wa uhalifu na kutafuta Mali isivyo halali.

Kuvunja mtandao huu ni vizuri kule ngazi za juu pawe na IGP asiye na mawakala ndani na nje ya mfumo. Ni vema akatoka JWTZ ambaye hata wauza magendo hawajawahi kukutana naye na kufahamiana naye.
Wananchi watarudisha imani kwa Jeshi la polisi kwa manufaa ya Polisi na Taifa kwa ujumla.

Mwisho kabisa ni kuwa Mama asimuogope mtu yeyote mana katiba ndiyo inayompa mamlaka aliyonayo na sio kikundi au genge la watu. Hii nchi ni kubwa kuliko mtu yeyote. Wapo watu wengi wanaokuunga mkono na wapo tayari kulinda kiti chako mpaka mwisho.
Mtu yeyote unayedhani au kuona kuwa haendani na zama zako basi usisite kumweka pembeni kabla hajaota pembe.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.

2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.

3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.

4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.

5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.

Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.

Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.

Huna hoja hata moja kiongozi:-

1. Kwanza unatatizo la kigaidi pia. Kufurahia mauaji ya polisi ni roho ya kigaidi kama aliyokuwa nayo hamza. Na magaidi wote huanza na polisi ili kudhoofisha upinzani. Kibiti walianza na askari na decision makers ili wabaki na raia wasio na ulinzi wawaswage kwenye ushetani wao. Hii haikubaliki. Askari wote ni walinzi wetu. Hatukubali muawaue ili mtumiliki kama wataliban. Never in Tanzania. Tutawashughulikia tu na Mungu yuko nasi.

2. Kwa kuwa Hamza aliuawa mahala pa wazi badala ya kukamatwa, ndiyo kunamfanya asiwe gaidi? Tafadhali bwana we uwe serious!.

3. Police kuendelea kumpiga risasi akiwa amekufa ni kupoteza ushahrdi gani? Kwamba kuna makovu ya maandishi mwilini mwake waliyapoteza ama dhahabu zake ziliyeyeuka na ku vanish?

4. Kwa hyo kwako wewe unachokiamini ugaidi ni dhidi ya Kristo? Huu ndio ushetani wenu. Leave Christ alone. He is the Mesiah, na siyo ushetani wetu utambadilisha. Yeye ni Mungu katika mwili na atabaki kuwa Mungu. (Ukweli ambao waabudu shetani wote wanausagia meno).

5. Kuwa ccm hakumaanishi moyo safi na dhamira ya kulinda nchi. Kama ccm ingelikkuwa ndiyo chujio la uharifu, bila shaka kamanda mawazo asingeuawa, na pasingekuwa na watu wasiojulikana, jaribio la kumuua lisu lingechunguzwa na kupingwa kwa nguvu zote ili kufundisha magaidi wengine. Vyombo gani vya usalama wakati vinatoa taarifa na wewe unapingana navyo?

Police watuhumiwa wa kitu gani? Ulitaka wapigwe risasi mmoja mmoja hadi waishe? Watuhumiwa wa kupigwa risasi?

Ni kweli poliei mara nyingi wameonyesha tatizo kubwa, ki utendaji katika mambo mbalimbali. Wamefanya dhambi mbaya sana tena mbaya hilo sikatai, lakini makosa ya polisi, hayamaanishi tufunge wizara ya mambo ya ndani, halafu tuache kila mtu afanye anavyoona ni vyema. Na hii haimuondolei Hamza makosa ya kuua watu.

Kwa kuwa wewe unamfahamu sana huyo hamza , utuambie alienda kkusomea nini Misri? Elimu ya jihad alikwenda kusoma kwa maslahi ya nani? Nenda kwenye hoja.
 
Watu watakuja kumtetea Hamza Kwa sababu wanazozijua wao,lakini Mimi nadhani polisi wanazo information nyingi ambazo hawawezi kiziweka hadharani Kwa RAIA wa kawaida,mpaka polisi

wamekubali kutumia neno "gaidi" Basi tujue kua kuna vitu vingi Sana ambavyo wamevigundua Kwa Huyo hamza.

Cha ajabu watu wanakuja na utetezi rahisi rahisi kwamba eti alikua MTU was watu,na inawezekana hata huo ukada alikua akiufanya Kwa malengo mahususi ya kuficha makucha yake...hiyo mihela alikua labda anachangia makusudi kabisa

Ukipitia video hii

Na ukija Kusoma Uzi huu

Kwa yoyote mwenye uelewa atajua kua kama nchi tuna changamoto kubwa Sana inatunyemelea kama taifa.
 
Akili za watz ni finyu sana angekua moja ya askari waliouawa ni ndugu zako sijui ungesema nini hapa. Weka nafsi yako kweny mke au wazazi wa waliouawa afu ndo uandike huo upuuzi tena. Mtu anatumia silaha za moto kama kazaliwa nazo afu useme ni mtu wa kawaida. Saa nyingine watanzania muendeshwe na akili na sio sympathy. Kinachowamaliza watz wengi mpaka mnashindwa fanya decision ni kutokutumia akili mnatumia mioyo kufikiri badala ya ubongo.
 
Vita ni ya Hamza na polisi harafu hao hao polisi wanapewa kazi ya kuchunguza na kutoa taarifa kwa Wananchi wakati wao wanataka kujitoa kwenye hiyo kesi...yaani haiwezekani mtu mwenye akili timamu akawafata polisi tuu na magaidi huwa wanaua mpaka raia ili kukamilisha malengo yao nadhani ipo siku tutajua ukweli ila sio hii taarifa ya kupikwa..
 
Pole kwa familia, rafiki na ndugu waliopoteza maisha kwenye tukio la bw. Hamza.
Ukweli wabakia pale pale, bila kuwaondoa na kukomesha udhalilishaji wa polisi wachache nchini kwa raia, bado kutakuwa na hatari ya tukio hili kujirudia, IGP Sirro, azunguke jela, mahabusu na magereza nchini asikie vilio vya raia, azunguke mitaani asikie malalamiko ya kutisha kwa wale polisi wanaochafua jeshi la polisi, hapo atatusaidia mno mno..
 
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.

2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.

3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.

4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.

5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.

Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.

Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.
Hamza alikuwa Mgonjwa wa akili ,mwenye tabia ya ugaidi wa kutaka kuua polisi.
 
Hamza alikuwa na akili timamu lakini kwa maudhi aliyofanyiwa na polisi alitaka kuwaachia ujumbe kuwa hawezi kuvumilia unyanyasaji wao hata kama matokeo yake ni umauti kwake!
Kwa hiyo unakiri kuwa jamaa alijuwa na akili ya kigaidi.!!! Lipumbafu kabisa.
 
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.

2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.

3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.

4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.

5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.

Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.

Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.
GAIDI HAMZA...
 
Hamza alikuwa na akili timamu lakini kwa maudhi aliyofanyiwa na polisi alitaka kuwaachia ujumbe kuwa hawezi kuvumilia unyanyasaji wao hata kama matokeo yake ni umauti kwake!
Alifanywa nini na polisi wakati alidai sirro anaonea waislamu?
 
Huo uchunguzi wataukubali watu wenye akili ndogo sana. Hamza ni Gaidi Mfia chama cha CCM sio Dini
Ila alidai allah hu akbari akiua polisi na kudai sirro anaonea waislamu...
Hili ziko waislamu wajinga msilikwepe, madrasa inawaponza kwa ujinga wa wengi wenu...
 
Back
Top Bottom