Kukingiwa kifua na mkulu haina uhusiano na sheria za nchi hii zaidi wote tunawaweka ktk kundi la kuvunja sheria.
Tatizo kubwa sisi watanzania ni waoga hatupo tayari kujitowa kwa jambo hasa linapokuwa na ukinzani tunapenda mambo smooth tu.
Wataalamu wa sheria nadhani wangelisimamia hili.
Mbona kwa TLS wameshindwa na mtu mmoja tu?
Miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa wananchi wake kutokuwa na furaha duniani