Napinga IGP Sirro kukutana na Vyama vya Upinzani kwasababu hana hadhi ya kuwa mpatanishi

Hakuna kikao cha aina hiyo. Labda wamwalike Augustino Lyatonga Mrema (TLP) atadudhuria. Sisi wengine hatuoni umuhimu wa kikao cha namna hii wakati huu.

Tuendelee kuitisha makongamano mpaka dunia ione ushenzi na unajisi wa katiba unaoendelea Tanzania. Makongamano haya yaitishwe kwa wingi zaidi na yalenge maeneo ambayo dunia itaona kwa urahisi ukandamizaji wa polisi.
Why kikao.?Katiba inasemaje?Sheria za vyama vya siasa inasemaje kuhusu mikutano ya vyama?Huyo msajili ni mpuuzi kwani alichotakiwa ni kumwambia Siro aache upuuzi wake.Yeye ni sehemu ya haya yanayoendelea nchini.Anatafuta namna ya kujiosha machoni pa watu.
 
Kwa miaka yote tangu ateuliwe kuwa IGP , Mtukufu Sirro amejipambanua kuwa upande wa ccm , huyu ndio chanzo cha vurugu kwenye harakati zote za kisiasa za vyama vya upinzani , ameshiriki kuvuruga , kuumiza na kuua Raia wasio na hatia kwenye mikutano na maandamano ya amani ya vyama vya siasa yasiyo na vurugu zozote , Ametumika sana na Serikali ya ccm kudanganya raia ili kunufaisha chama chake cha ccm , NENDENI TUNDUMA MKAJIONEE UNYAMA WALIOFANYIWA CHADEMA , Mauaji ya Akwilina na utekaji wa MO ni ushahidi wa uongo wa wazi na wa kishamba sana wa Simon Sirro , kama yeye mwenyewe au mpambe wake anabisha ajitokeze hadharani .

Mtesaji mkuu wa Wanasiasa wa Tanzania kwa awamu ya 5 na hii ya 6 ni Simon Sirro kupitia Jeshi analoliongoza la polisi , kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona vurugu zozote za kisiasa zilizoanzishwa na upinzani , bali nimeshuhudia utesaji , manyanyaso , wizi wa kura wa aibu sana na utekaji wa viongozi wa upinzani ukisimamiwa na Jeshi la polisi lililo chini ya Sirro .

Mtu wa namna hii hana uwezo wa kuitisha kikao na vyama vya siasa vya upinzani kwa namna yoyote ile si tu kwa vile hana MAMLAKA YA KISHERIA YA KUFANYA HIVYO , Bali pia haaminiki na anao upande wake wa yule aliyemteua ambaye ni Mwenyekiti wa ccm .

NASHAURI CHAMA CHANGU CHA CHADEMA KUTOHUDHURIA KIKAO CHOCHOTE KITAKACHOITISHWA NA SIMON SIRRO akiwa yeye binafsi ama akivaa cheo cha IGP

NAKALA : John Mnyika
Hata huyo msajili hafai kupata hiyo heshima ni sehemu ya wavurugaji wa demokrasia

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100

Huyo Sirro hana "credibility" ya kuhudhuria kikao hicho.

Ingawa pia huyo Mutungi naye tuhisi kuwa ametokewa na Roho Mtakatifu Hadi kufikia uamuzi huo??

Kwa kuwa na yeye pia hana "credibility" ya kuitisha kikao hicho kwa namna na yeye pia alivyo-side na upande wa Chama tawala Katika kipindi chote, tokea ateuliwe kwenye nafasi hiyo nyeti Sana hapa nchini

Au tuite kuwa kuna shinikizo kubwa kwenye Jumuia ya Kimataifa ndiyo imemfanya huyo Msajili wa vyama vya siasa apige hiyo U-turn yake??

Kuna maswali mengi yanayokosa majibu kwenye huu mwelekeo mpya wa Msajili wa vyama vya siasa
Lengo ni kuyumbisha akili za watu tu. Mtu mwenye uelewa na akili timamu anajua nani asiyetii sheria ni polisi ambao wenye wimbo "tii sheria bila shuruti". Kwasababu wao wako juu ya sheria!

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Kushiriki ni muhimu ili waambiwe ukweli la! Itaonekana tunawaogopa
 
Mpaka Sasa ni chadema vs dola
Kuonyesha kwamba ccm imeshakufa haitajwi popote isipokuwa zinatajwa gvt oppressive machinery/apparatus Kama polisi msajili nk

Hii tafsiri yake ninini? Ccm kimepotea kwenye siasa tumebaki na polisi. Hivyo matokeo ni

Chadema 3 ccm 0
Huu ndio ukweli
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100

Huyo Sirro hana "credibility" ya kuhudhuria kikao hicho.

Ingawa pia huyo Mutungi naye tuhisi kuwa ametokewa na Roho Mtakatifu Hadi kufikia uamuzi huo??

Kwa kuwa na yeye pia hana "credibility" ya kuitisha kikao hicho kwa namna na yeye pia alivyo-side na upande wa Chama tawala Katika kipindi chote, tokea ateuliwe kwenye nafasi hiyo nyeti Sana hapa nchini

Au tuite kuwa kuna shinikizo kubwa kwenye Jumuia ya Kimataifa ndiyo imemfanya huyo Msajili wa vyama vya siasa apige hiyo U-turn yake??

Kuna maswali mengi yanayokosa majibu kwenye huu mwelekeo mpya wa Msajili wa vyama vya siasa
Na wala siyo IGP Sirro tu, bali hata huyo msajili wa vyama hana uhalali wowote wa kupatanisha vyama vya upinzani, labda vyama uchwara vya upinzani ambavyo ni vyama ndugu na CCM.
 
Saimon siro Hana nafasi ya kukaa na chadema ukizingatia yote yalio yanyika na polisi chini yake viongozi wangu msikubali msikubali msikubali
 
Kwa miaka yote tangu ateuliwe kuwa IGP, Mtukufu Sirro amejipambanua kuwa upande wa ccm , huyu ndio chanzo cha vurugu kwenye harakati zote za kisiasa za vyama vya upinzani, ameshiriki kuvuruga, kuumiza na kuua Raia wasio na hatia kwenye mikutano na maandamano ya amani ya vyama vya siasa yasiyo na vurugu zozote, Ametumika sana na Serikali ya ccm kudanganya raia ili kunufaisha chama chake cha CCM, NENDENI TUNDUMA MKAJIONEE UNYAMA WALIOFANYIWA CHADEMA, Mauaji ya Akwilina na utekaji wa MO ni ushahidi wa uongo wa wazi na wa kishamba sana wa Simon Sirro, kama yeye mwenyewe au mpambe wake anabisha ajitokeze hadharani .

Mtesaji mkuu wa Wanasiasa wa Tanzania kwa awamu ya 5 na hii ya 6 ni Simon Sirro kupitia Jeshi analoliongoza la polisi , kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona vurugu zozote za kisiasa zilizoanzishwa na upinzani, bali nimeshuhudia utesaji , manyanyaso , wizi wa kura wa aibu sana na utekaji wa viongozi wa upinzani ukisimamiwa na Jeshi la polisi lililo chini ya Sirro.

Mtu wa namna hii hana uwezo wa kuitisha kikao na vyama vya siasa vya upinzani kwa namna yoyote ile si tu kwa vile hana MAMLAKA YA KISHERIA YA KUFANYA HIVYO , Bali pia haaminiki na anao upande wake wa yule aliyemteua ambaye ni Mwenyekiti wa CCM.

NASHAURI CHAMA CHANGU CHA CHADEMA KUTOHUDHURIA KIKAO CHOCHOTE KITAKACHOITISHWA NA SIMON SIRRO akiwa yeye binafsi ama akivaa cheo cha IGP.

NAKALA : John Mnyika
Mkuu ni vizuri wakutane waweke yote mezami na wasisite kuulizana maswali magumu magumu, ila pia majibu mepesi yasikubalike.
Pale zikasomwe sheria na matekelezo yake, ndio zikatamalaki na si kauli za watawala.
 
Kwa miaka yote tangu ateuliwe kuwa IGP, Mtukufu Sirro amejipambanua kuwa upande wa ccm , huyu ndio chanzo cha vurugu kwenye harakati zote za kisiasa za vyama vya upinzani, ameshiriki kuvuruga, kuumiza na kuua Raia wasio na hatia kwenye mikutano na maandamano ya amani ya vyama vya siasa yasiyo na vurugu zozote, Ametumika sana na Serikali ya ccm kudanganya raia ili kunufaisha chama chake cha CCM, NENDENI TUNDUMA MKAJIONEE UNYAMA WALIOFANYIWA CHADEMA, Mauaji ya Akwilina na utekaji wa MO ni ushahidi wa uongo wa wazi na wa kishamba sana wa Simon Sirro, kama yeye mwenyewe au mpambe wake anabisha ajitokeze hadharani .

Mtesaji mkuu wa Wanasiasa wa Tanzania kwa awamu ya 5 na hii ya 6 ni Simon Sirro kupitia Jeshi analoliongoza la polisi , kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona vurugu zozote za kisiasa zilizoanzishwa na upinzani, bali nimeshuhudia utesaji , manyanyaso , wizi wa kura wa aibu sana na utekaji wa viongozi wa upinzani ukisimamiwa na Jeshi la polisi lililo chini ya Sirro.

Mtu wa namna hii hana uwezo wa kuitisha kikao na vyama vya siasa vya upinzani kwa namna yoyote ile si tu kwa vile hana MAMLAKA YA KISHERIA YA KUFANYA HIVYO , Bali pia haaminiki na anao upande wake wa yule aliyemteua ambaye ni Mwenyekiti wa CCM.

NASHAURI CHAMA CHANGU CHA CHADEMA KUTOHUDHURIA KIKAO CHOCHOTE KITAKACHOITISHWA NA SIMON SIRRO akiwa yeye binafsi ama akivaa cheo cha IGP.

NAKALA : John Mnyika
CCM wamevurugwa kinyama. Siro ndiye spokesperson wao kwa sasa.
 
KIKAO kama hiki ndo cha kusutana

Mimi nawashauri muhudhurie mtoe maduku duku yenu
Msipohudhuria maana yake hamna malalamiko ya msingi.
 
Msiposhiriki maana yake kila mkiandaa chochote mtatwangwa, amueni kusuka au kunyoa
Hiyo ni kawaida mbona ,wala sio kitu kigeni kama hata tukivaa tu nguo zenye uwekundu na weupe wanaanza kutukimbiza wakijua ni sare za Chadema,Kuna kigeni hapo?
 
Kwa miaka yote tangu ateuliwe kuwa IGP, Mtukufu Sirro amejipambanua kuwa upande wa ccm , huyu ndio chanzo cha vurugu kwenye harakati zote za kisiasa za vyama vya upinzani, ameshiriki kuvuruga, kuumiza na kuua Raia wasio na hatia kwenye mikutano na maandamano ya amani ya vyama vya siasa yasiyo na vurugu zozote, Ametumika sana na Serikali ya ccm kudanganya raia ili kunufaisha chama chake cha CCM, NENDENI TUNDUMA MKAJIONEE UNYAMA WALIOFANYIWA CHADEMA, Mauaji ya Akwilina na utekaji wa MO ni ushahidi wa uongo wa wazi na wa kishamba sana wa Simon Sirro, kama yeye mwenyewe au mpambe wake anabisha ajitokeze hadharani .

Mtesaji mkuu wa Wanasiasa wa Tanzania kwa awamu ya 5 na hii ya 6 ni Simon Sirro kupitia Jeshi analoliongoza la polisi , kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona vurugu zozote za kisiasa zilizoanzishwa na upinzani, bali nimeshuhudia utesaji , manyanyaso , wizi wa kura wa aibu sana na utekaji wa viongozi wa upinzani ukisimamiwa na Jeshi la polisi lililo chini ya Sirro.

Mtu wa namna hii hana uwezo wa kuitisha kikao na vyama vya siasa vya upinzani kwa namna yoyote ile si tu kwa vile hana MAMLAKA YA KISHERIA YA KUFANYA HIVYO , Bali pia haaminiki na anao upande wake wa yule aliyemteua ambaye ni Mwenyekiti wa CCM.

NASHAURI CHAMA CHANGU CHA CHADEMA KUTOHUDHURIA KIKAO CHOCHOTE KITAKACHOITISHWA NA SIMON SIRRO akiwa yeye binafsi ama akivaa cheo cha IGP.

NAKALA : John Mnyika
Pinga
 
Back
Top Bottom