Napigwa vita sana usiku na mchana Mungu yupo upande wangu

@DeoKisandu kaibuka upya ama...???
napigwa vita sana usiku na mchana kisa mapenzi yetu mimi na mke wangu
watu wanatuonea wivu wanatamani tuachane nikaona ngoja nije jf kuonesha hisia zangu kwa mke wangu huko nako napigwa vita naambiwa mimba si yangu napoteza tu bure mali na muda wangu

tumependana wenyewe na Mungu analinda penzi letu asidi hana nafasi .
 
Labda vita ya panzi
 
We jamaa siku zote huishi visa haya bana
Hasidi hana nafasi kwenye penzi lenu wambie
 
Samahani kwa hilo, ninaloenda kuliongea chief.

Hivi unajua nimejiuliza mara tano tano, kwamba why mwanaume unakosa kifua namna hiyo!! Hivi kwani kuna haja gani ya kuyatangaza mahusiano yako, as if unatangaza biashara ya udalali.!!!

Kwakweli unaniacha hoi ndugu yangu, maana hiyo tabia nimeshazoea kuiona kwa watoto wa like sanasana, tena na wao wanafanya pale panapobidi.....!! Sasa wewe mwanaume mzima, unajikakamu kujitangaza.....how comes?!!!

Stop it bhana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom