Napigwa vita sana usiku na mchana Mungu yupo upande wangu

D

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
760
Points
1,000
D

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2016
760 1,000
napigwa vita sana usiku na mchana kisa mapenzi yetu mimi na mke wangu
watu wanatuonea wivu wanatamani tuachane nikaona ngoja nije jf kuonesha hisia zangu kwa mke wangu huko nako napigwa vita naambiwa mimba si yangu napoteza tu bure mali na muda wangu

tumependana wenyewe na Mungu analinda penzi letu asidi hana nafasi .
mkuu toka mkeo apate mimba sijui nakufatilia nyuzi zako ni za mapenzi na mke kuna mawili
1.mna matatizo nyinyi na watu wawonee vipi wivu na huku mapenzi mnafanyia ndani kwenu'
2.kuna watu wanajaribu kukuambia kwamba unagongewa mke ila wewe unakataa na mwanamke wako anakuaminisha kwamba wanakuonea wivu...amka ndugu acha ushamba
 
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Messages
3,906
Points
2,000
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2018
3,906 2,000
Sasa mwanaume mzima unaogopa kupigwa vita. Kama mimba ni yako mbona unaandika kama mtu mwenye mashaka?

Huu uzi alipaswa aandike huyo mke wako. Hata hivyo sikulamu kwani niliwahi kusikia mahali kuwa mke akiwa na mimba mume naye hupata mimba ya akili.

Sasa mimba yako ni miezi sita tuu
 
Cvez

Cvez

Senior Member
Joined
May 19, 2018
Messages
194
Points
500
Cvez

Cvez

Senior Member
Joined May 19, 2018
194 500
Mkuu una bipolar disorder, vitu vingi unahallucinate kisha unaviamini kua makini wasije wakakutia kamba ukapelekwa mental hospital.
 

Forum statistics

Threads 1,342,678
Members 514,746
Posts 32,759,650
Top