Napiga hodi kwa wana Jamii Forum.

nchasi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
564
184
Najiona kama ni mtu niliyekumbuka shuka wakati ni asb.kumekucha. Ni Mr TANO ATHANAS NCHASI. Kutoka Dodoma St. JOHN'S UNIVERSITY. Nawaomba wanaharakati tujuane jamani ili na mimi niwe active member. Ambaye atakuwa interested hata kwa contact ni
{ 0776934915 }. Ndani ya JF tufanye mambo kuleta mabadiliko yenye matumaini. Tukiamua si inawezekana jamani.?
 
Karibu sana jamvini, Mr. Tano, hujachelewa ndio kwanza kama vile mapambano ndo 2meyaanza, karibu sana
 
Back
Top Bottom