sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,032
Sijisifii ila ndivyo nilivyo, watoto wananipenda sana tangu mimi ni mdogo, hawa watoto naozungumzia, mara nyingi ni watoto chini ya miaka 7
Kwa sasa nina miaka 29, nimeoa na tuna watoto wawili. Changamoto ninayopata niwapo kazini, kwenye biashara, mtaani na maeneo mengi huwa natokea tu kupendwa na watoto wa maeneo hayo, ila kama itatokea mzazi hataki mtoto wake aje kwangu nitatii
Changamoto ni kwamba hawa kina mama wa hawa watoto huanza kujenga ukaribu na mimi na huwa sina tatizo, ila tatizo linapokuja ni pale wanapoanza kutia juhudi kunitaka kuwa karibu kimapenzi.
Nina exit strategies nyingi za kukabiliana na hii chnagamoto lakini kuna hawa vinganganizi ni kero tupu.
Mfano kuna mtoto flan anapendaga sana kuja eneo langu la biashara ninapotoka kazini, nikiagiza chakula tutakula wote, kuna simu huwa siitumii sana nawapa wacheze games pamoja na vizawadi vya pipi, madaftari, juisi, n.k.
Sasa huyu mtoto mama yake nashindwa kumuelewa licha ya kujua kwamba mimi ni mume wa mtu.
Nina kawaida ya kuhesabu vitu kila baada ya siku kadhaa ili kulinganisha na mauzo, na wakati huu binti wa kazi huwa kaondoka, Huwa ninafunga mlango wa duka ili nianze kuhesabu vizuri bila bugudha.
Nikasikia hodi, kunfungua namkuta mama wa huyo mtoto, akaniambia kuna kitu mtoto kasahau aje kukichukua, akawa anatafta tafta tu nikamwabia nimsaidie, sasa navyomwambia nimsaidie ghafla kanikumbata, haikua mara ya kwanza kukutana na hili tukio, kuna wengine nao walikuja kwa gia hii hii,
Nilimwambia acha, ile kwa ukali bado akaendelea, nilijitoa kwake na mara hii alirudi kqa nguvu.
LA HAULA!! huyu mama hana adabu, aliupeleka mkono wake kwenye maeneo ya zipu, akaanza kumminya minya askari.
kwa sekunde kama 15 akiendelea na huo ukachero nilimwangalia machoni huku nikiwa nimeufungua mdomo na kumkodleo macho, mapigo ya moyo yakiongezeka na nikihema kwa haraka maana sikutemea hili (niwe mkweli hizo sekunde 15 askari alianza kuvimba)
Nampenda sana mke wangu na hicho alichodhamiria basi mke wangu anaweza vizuri tu na ninakipata napotaka.
ilibidi nimwambie tu aache huo ujinga huku nikiwa na msimamo, niliwahi kufunga hata bila kumaliza zoezi la kuhesabu mzigo maana hali huenda ikawa tete mule ndanj au hata kusingiziwa nimebaka endapo angefikiria uovu.
Kwa sasa ninaona huenda ntarogwa kwa matego au malimbwata ya hawa wamama wa watoto ambao mimi kwa nia nzuri tu huwa sina kinyongo kuwapa kampani.
Sasa wakuu, Hali ndio kama hio tena, na sio huyu tu, ni wengi, na hata kazini huko wapo wanne ambao lengo lao lipo wazi juu yangu ila tunaheshimiana.
Je niwe kauzu kwa watoto ili kunusuru ndoa yangu