JEMEDARI .H.
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 341
- 54
Aman Iwe Kwenu Wakuu,kwa Mtazamo Wangu Nashauri Chadema Wamwachie Easter Bulaya Jimbo La Bunda Kwani Amekubalika Na Hata Hivyo Naamin Watachuana Vizuri Na Wassira.
Naunga mkono hoja, tatizo liko kwa viongozi Chadema wilaya Kuna uhuni unaendelea sina uhakika kamawatavuka salama jimbo la Bunda.
Fafanua rafiki.
Aman Iwe Kwenu Wakuu,kwa Mtazamo Wangu Nashauri Chadema Wamwachie Easter Bulaya Jimbo La Bunda Kwani Amekubalika Na Hata Hivyo Naamin Watachuana Vizuri Na Wassira.
Niko Bunda na wapiga kura wengine wanamtaka WasiraWakuu Lazima Tujue Kuwa Waliopiga Kura Ni Kamati Ya Chadema Na Bulaya Ni Mgeni Pale,kwa Hiyo Ni Vigumu Kushinda Bulaya Kwenye Kura Za Maoni Wakati Kuna Watu Walishafanya Lobbing Tangu Mwanzo,lakini Tukiangalia Uhalisia Bulaya Anakubalika Sana Kwa Hiyo Nazidi Kutetea Hoja Yangu Kuwa Apewe Jimbo
Matokeo yalikuwaje Mkuu ?Niko Bunda na wapiga kura wengine wanamtaka Wasira
Kama Bulaya ana akili atafute jimbo lingineAman Iwe Kwenu Wakuu,kwa Mtazamo Wangu Nashauri Chadema Wamwachie Easter Bulaya Jimbo La Bunda Kwani Amekubalika Na Hata Hivyo Naamin Watachuana Vizuri Na Wassira.