Elections 2015 Napendekeza: Wassira apimane ubavu na Easter Bulaya jimbo la Bunda

JEMEDARI .H.

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
341
54
Aman Iwe Kwenu Wakuu,kwa Mtazamo Wangu Nashauri Chadema Wamwachie Easter Bulaya Jimbo La Bunda Kwani Amekubalika Na Hata Hivyo Naamin Watachuana Vizuri Na Wassira.
 
Naunga mkono hoja, tatizo liko kwa viongozi Chadema wilaya Kuna uhuni unaendelea sina uhakika kamawatavuka salama jimbo la Bunda.
 
Wasira hana chake pale Bunda ameshindwa kutatua Matatizo ya maji katika mji wa Bunda licha ya kuwa waziri wa maji atufai huyu
 
Naunga mkono hoja, tatizo liko kwa viongozi Chadema wilaya Kuna uhuni unaendelea sina uhakika kamawatavuka salama jimbo la Bunda.

Acheni porojoo....ester aliingia kwenye kura ya maoni ..kura zake hazikutoshaa..mnataka aachiwe tuu bila kufuata utaratibu wa chamaa...nenden ccm huko ndio mnapoachiana kwa kwa,kupeana milungulaa....
 
Mtu aliyeshindwa kura za kamati tu, aweze kura za jimbo. Kweli akili ni nywele.

Aligombea akashindwa mnataka abebwe!!
 
Kwa.msiowajua wakurya na wajita, yule binti hawez mzid kura baba ake Wasira, hata wasira asipofanya kampen,,,,hatuongozwi na mwanamke hata siku moja
Potii
 
Aman Iwe Kwenu Wakuu,kwa Mtazamo Wangu Nashauri Chadema Wamwachie Easter Bulaya Jimbo La Bunda Kwani Amekubalika Na Hata Hivyo Naamin Watachuana Vizuri Na Wassira.

Aliyeongoza kura za ubunge jimbo la bunda tayari Wasira anajiandaa kupeleka pingamizi Mahakamani kwa madai ya kwamba kamanda PIUS ana kesi ya ujambazi huko nchini Kenya
 
Wakuu Lazima Tujue Kuwa Waliopiga Kura Ni Kamati Ya Chadema Na Bulaya Ni Mgeni Pale,kwa Hiyo Ni Vigumu Kushinda Bulaya Kwenye Kura Za Maoni Wakati Kuna Watu Walishafanya Lobbing Tangu Mwanzo,lakini Tukiangalia Uhalisia Bulaya Anakubalika Sana Kwa Hiyo Nazidi Kutetea Hoja Yangu Kuwa Apewe Jimbo
 
wanaosema ndiyo waseme....haya wanasema siyo waseme....haya wanaosema ndiyo wameshinda na Hoja imepitishwa rasmi
 
Wakuu Lazima Tujue Kuwa Waliopiga Kura Ni Kamati Ya Chadema Na Bulaya Ni Mgeni Pale,kwa Hiyo Ni Vigumu Kushinda Bulaya Kwenye Kura Za Maoni Wakati Kuna Watu Walishafanya Lobbing Tangu Mwanzo,lakini Tukiangalia Uhalisia Bulaya Anakubalika Sana Kwa Hiyo Nazidi Kutetea Hoja Yangu Kuwa Apewe Jimbo
Niko Bunda na wapiga kura wengine wanamtaka Wasira
 
Aman Iwe Kwenu Wakuu,kwa Mtazamo Wangu Nashauri Chadema Wamwachie Easter Bulaya Jimbo La Bunda Kwani Amekubalika Na Hata Hivyo Naamin Watachuana Vizuri Na Wassira.
Kama Bulaya ana akili atafute jimbo lingine
Lkn pia kama cdm wana akili watafute mgombea mbadala wa Bulaya. Jina lake kwa Bunda limehalibika sana. Sijui ni kwa nn wana Bunda wamemchukia huyo mama. Nashani tribelism ndiyo tatizo.
 
Back
Top Bottom