NAPENDEKEZA: Wanajamvi tuliopo Dar na wale watakaopenda TUKUTANE

sasa..wats the point of anonymity in JF?? kama tutaonana na kuchekeana??i like this much more..chilling behing my screen and going places!!
lakini mtakaoweza kukutana naomba m-post pictures basi!i suggest mvae identification tags kifuani..
awesooome!!
 
Mmmh hapana kukutana 2sije 2kakimbiana bure then w2 wakaanza kuona aibu kutoa maduku duk yao ili kupewa mawazo cz wataanz kumb ndo huyo alikua anaomb ushaur ule! 2endelee hv hv kibubu bubu ndo inanoga
 
Nadhani hili la kukutana face to face wanaliweza watu wa Arusha..Hap Dar sijui kama inawezekana...Sikukatishi tamaa lakini....
Ni kweli kuwa tko bz sana lkn kuna watu wanakuwa online full time sasa hao nao hawawezi kujiiba kwa just 3hrs let say? :redface:
 
Nafikiri tukutane angalau ata kwa kuchangia na kupangilia eneo fulani. Tuchague Viongonzi wa kuratibu hii kitu. Nasema hivyo kwakuwa:
  1. jf inawatu wenye uwezo mkubwa wa kutafakari na kufumbua mambo
  2. kuna aja ya kujuana na kwakuwa sote ni kitu kimoja basi tutapanga la kufanya
  3. tuwatambue kina mods, Mwanakijiji, nk.
  4. tuwone wale walioweka picha kali wkt pengine ni wakawaida au ata wazee, au vituko
  5. tuweke mikakati ya kulikomboa taifa:flypig:
Kabla sijasema ntakayosema ngoja nikupe ka fact kamoja hivi,

Zamani social networking ilikuwa inafanyika kwa watu kukutana katika maeneo tofauti tofauti ambapo ndipo waliweza kujuana na kuongea mambo mbalimbali. Lakini kadri teknolojia ilivyokuwa inakuwa imefanya zile social gathering ziwe na wigo mpana zaidi kwa maana kwamba sasa sio lazima utembee kutoka nyumbani kwako ili ukazungumze na rafiki yako wa mtaa wa pili coz unaweza kumpigia simu, email, sms, skype na nyingine nyingi. Hii pia imefanya hata utoaji wa maoni uwe mpana zaidi kwa maana kwamba mtu anaweza kutoa maoni yake popote alipo na watu wengi zaidi wakayapata kwa kutumia online social gatherings kama ilivyo JF na nyinginezo unazozijua wewe.

Sasa katika gatherings za siku hizi kila moja inakuwa na purpose yake na inapofikia kwamba the online has gone beyond online ni kitu kizuri pia lakini sio lazima online iende uso kwa uso. Sasa kwa JF kama ulivyoona wengi wanatumia IDs ambazo hazikufanyi umjue mtu husika tofauti na FB ambayo unaweka jina na picha yako iliyophotoshipiwa vizuri ili watu wakujue. So wengi wa waliopo hapa wanataka kufanya sauti zao zisikike huku wakiendelea kuwa anonymous. So kwa mtizamo huo itakuwa ngumu sana kuwaconvice wengi wao kukutana kwa mtindo wetu ule wa kizamani wa uso kwa uso.
 
Imekaa vizuri, mlio Dar fanyeni utaratibu ili muweze kufanya meeting hii.
Sie tulipo mikoani, tutapata feedback ya hiyo meeting.
 
Waiii nikajua unataka tukutane kweli kumbe umbe umbea tu........
 
Back
Top Bottom