Napendekeza ukumbi wa 'Karimjee' ubadilishwe jina

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Kama tulivozoea kuona majini ya vitu hasa yaliyokuwa yakitumika tokea enzi ya mkoloni yakibadilishwa, mie nimeonelea ni wakati muafaka wa ukumbi huu wa 'Karimjee' nao ubadilishwe na kuita ama 'BUNGE HALL' kwa kuweka kumbukumbu nzuri ya kikao cha kwanza cha bunge letu kufanyika hapo.

Kumbuka pana majina ya mitaa kama Pugu, City Drive, Independence Avenue n.k. yamebadilishwa hivo sioni tija ya jina la Karimjee hapa.
 
Kama tulivozoea kuona majini ya vitu hasa yaliyokuwa yakitumika tokea enzi ya mkoloni yakibadilishwa, mie nimeonelea ni wakati muafaka wa ukumbi huu wa 'Karimjee' nao ubadilishwe na kuita ama 'BUNGE HALL' kwa kuweka kumbukumbu nzuri ya kikao cha kwanza cha bunge letu kufanyika hapo. Kumbuka pana majina ya mitaa kama Pugu, City Drive, Independence Avenue n.k. yamebadilishwa hivo sioni tija ya jina la Karimjee hapa.

Bunge hall ndio jina la zamani...
 
Akina Karimjee ndiyo walikuwa wenye ukumbi huo kama sikosei.
 
Bunge hall ndio jina la zamani...
Mkuu, picha hii uliisha iona?
331401807.jpg
 
Mzee Karimjee alifanya kazi njema, muache akumbukwe.

Aliiachia serikali MAJENGO mengi likiwemo lile JENGO maarufu linalotumika kama CLINIC YA MAMA & MTOTO pale MNAZI MMOJA HOSPITAL.
Kwani mpaka leo yupo? Hili si suala la yeye kwani jengo lipo kwetu na si India mkuu.
 
Akina Karimjee ndiyo walikuwa wenye ukumbi huo kama sikosei.
Hata Aga khan alikuwa na majengo takriban miji yote mikuu ya nchi yetu mkuu, lakini sasa ni ya Msajiri wa majengo.
 
What is Karimjee Jivanjee Family foundation and their doings

1. HISTORY

The Karimjee Jivanjee family came to Africa more than 200 years ago from Gujarat in India. We came as dhow traders from India to Zanzibar and established our business in Zanzibar in 1825.

Our business prospered and by 1920 we had expanded into Tanganyika. By 1950 the family was engaged in import and export trading, sisal and tea farming and sales and service of motor vehicles and motorcycles.

President Jakaya Kikwete (right) receives Karimjee Jivanjee family book from Hatim Karimjee, Chairman of Karimjee Jivanjee Ltd during a ceremony to launch the book in Dar es Salaam recently.
The Karimjee family established several charity trusts in the 1950’s and built many schools, hospitals and dispensaries and mosques and community centres. The most famous of these donations are; Karimjee Hall, Usagara Secondary School in Tanga (formerly Karimjee School), the Karimjee Clinic in Mnazi Moja, and the old Karimjee Hospital in Zanzibar. At the same time Karimjee gave scholarships to many Tanzanians to study overseas.

The charity trusts became less active after 1966/1969.

2. KARIMJEE JIVANJEE FOUNDATION

In 2009 the family decided to revive the charity trusts and registered the new Karimjee Jivanjee Foundation (KJF). KJF commenced operations in 2011.
KJF is funded by donations from Toyota Tanzania.

The mission of KJF is to invest in Education as a means to enhance the economic development of Tanzania. Tanzania faces many short term and long term socio- economic difficulties. The long term solution to many of these challenges is education.
Our strategy is to provide scholarships to Tanzanians to study in Tanzania, and to make improvements to various schools.
KJF has approximately 50 Scholars studying at graduate and post graduate level in Tanzania.
In addition to scholarships KJF provides donations to some schools to make improve
 
Kama tulivozoea kuona majini ya vitu hasa yaliyokuwa yakitumika tokea enzi ya mkoloni yakibadilishwa, mie nimeonelea ni wakati muafaka wa ukumbi huu wa 'Karimjee' nao ubadilishwe na kuita ama 'BUNGE HALL' kwa kuweka kumbukumbu nzuri ya kikao cha kwanza cha bunge letu kufanyika hapo. Kumbuka pana majina ya mitaa kama Pugu, City Drive, Independence Avenue n.k. yamebadilishwa hivo sioni tija ya jina la Karimjee hapa.

Angalia chanzo cha huo ukumbi kwani ni wa serekali au ulikua wa mtu
 
Ukisikie Laana za Mungu zinavoanza kuikumba nchi... basi ni kwa njia hizi za kuvamia mali za watu na kujipandikizia majina feki na ubini bandia..... "bado hayawatoshi mlivyoiba na kutaifisha majengo/viwanda mashamba /mashule /mahoteli na hospitali ya waASIA na wazungu... balaa lote mulionalao la kimaisha hivi sasa ni moja za sababu ya udhalimu na ujanja wakunyakuwa HAKI za watu.... pyuuuuuufff
 
Back
Top Bottom