NAPENDEKEZA:- Tanzania TOP MODEL wawe Bikira

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,488
908
Ikumbukwe Kesho ndio Mtanange ule Wa Kinyanganyiro Cha kumsaka Tanzania Top Model pale Nyerere Hall 7/12/2013.

Napenda kutoa pendekezo ambalo naamini kabisa litawakera, kuwaudhi Na kuwakasirisha waandaaji wa mashindano haya Hasa waliokubuhu Kwa rushwangono Kwamba ni Vema tukastawisha maadili Na utu Wa Mwanamke Kwa kutokumdhalilisha kupitiliza Kwa kuweka kanuni kuu Na kigezo kikubwa kabisa Cha Miss Tanzania, miss mikoa au wilaya Na popote yanapoumana mashindano haya yashirikishe mabint bikra sio wake vivuli wa mijibabaz Na ufuskaz, Kwa siku Za Usoni. Na itungwe Sheria huko Bungeni ikiweka haya bayana.

Ndugu zangu napoongea hili nina ushahidi wa kutosha Wa kila kona juu ya Ushetani uliopitiliza Wa kudhalilishana Nyuma ya pazia la mashindano haya. Kitufe chekundu Cha kusitisha kadhia hii ni kubonyeza Virgin Competiton that's all. Mnielewe hivyo waheshimiwa wote ..

R.I.P Madiba
 
Hata mie niliwaza namna hiyo, itasaidia mabint kujitunza, nowadays vibint vya msingi vinatafuta kuondolewa hiyo kitu sana.
 
Na hapo ndio itakuwa balaa,maana mafataki watazifukuzia hizo'maria' mpaka basi!
 
utawapimaje? utawajuaje? bikra ni nini?....kuna mwanamke hajawai kutembea na mwanaume yeyote yule maisha mwake ila hana iyo unayodhani kua ni bikra...... ukijibu hayo maswali niite.....
 
R.I.P Nelson Mandela Madiba Nyati wa Africa!! Tulikupenda ila Mungu Kakupenda zaidi.
 
Hiyo bikira itapimwa na nini? Naona tunawadhalilisha jinsia ya kike kila eneo huku tukisahau kuwa hata vijana wetu wa kiume nao wanatakiwa kuwa bikira.
 
hehehe nahisi kila mashindano yakianza wanakuwepo washikiriki watatu tu mpaka mwisho :smile-big:
 
Hiyo bikira itapimwa na nini? Naona tunawadhalilisha jinsia ya kike kila eneo huku tukisahau kuwa hata vijana wetu wa kiume nao wanatakiwa kuwa bikira.

Wazo zuri wangu. umefikiria nini. I like you ila mimi alhadj ndio nipewe kazi ya kuwapima. Actually nitajitolea ktk kazi hii ngumu na ya kuchosha. Nawasilisha
 
Hiyo bikira itapimwa na nini? Naona tunawadhalilisha jinsia ya kike kila eneo huku tukisahau kuwa hata vijana wetu wa kiume nao wanatakiwa kuwa bikira.

Ondoa hofu kabisa. Mtaalamu huyu hapa chini tena ni professa aliyebobea...

attachment.php
 
utawapimaje? utawajuaje? bikra ni nini?....kuna mwanamke hajawai kutembea na mwanaume yeyote yule maisha mwake ila hana iyo unayodhani kua ni bikra...... ukijibu hayo maswali niite.....

Mkuu umenikumbusha kisa cha binti mmoja ambaye alilalamikiwa na jamaa yangu kutokutwa akiwa NAYO (hiyo BKR) akamwambia jamaa yangu kuwa ilitolewa na kuendesha baiskeli akienda shule ya msingi iliyokuwa mbali na kwao;-) Kweli kuna zinazopotea bila kuhusisha mwanaume.....
 
Mi nadhani hili swala linawezekana asilimia mia, cha msingi ni kutafuta wadau kutoka kwa wenzetu walioendelea wakatusaidia vifaa vya kuditect .......ikatusaidia.

R.I.P mzee wetu
 
sidhani kama inawezekana maana watoto wa kike sasa wanazaliwa bila bikra!
 
Ikitokea hivyo basi wengi tutaweka bond mapema kwa wanaomaliza kinyang'anyiro maana kila kontena likipakua tu tunajitwalia vitu "untouched".

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wataweka zile bikira za kutengeneza!chezeiya bongo ww kila kitu kinachakachuliwa!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom