Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,488
- 908
Ikumbukwe Kesho ndio Mtanange ule Wa Kinyanganyiro Cha kumsaka Tanzania Top Model pale Nyerere Hall 7/12/2013.
Napenda kutoa pendekezo ambalo naamini kabisa litawakera, kuwaudhi Na kuwakasirisha waandaaji wa mashindano haya Hasa waliokubuhu Kwa rushwangono Kwamba ni Vema tukastawisha maadili Na utu Wa Mwanamke Kwa kutokumdhalilisha kupitiliza Kwa kuweka kanuni kuu Na kigezo kikubwa kabisa Cha Miss Tanzania, miss mikoa au wilaya Na popote yanapoumana mashindano haya yashirikishe mabint bikra sio wake vivuli wa mijibabaz Na ufuskaz, Kwa siku Za Usoni. Na itungwe Sheria huko Bungeni ikiweka haya bayana.
Ndugu zangu napoongea hili nina ushahidi wa kutosha Wa kila kona juu ya Ushetani uliopitiliza Wa kudhalilishana Nyuma ya pazia la mashindano haya. Kitufe chekundu Cha kusitisha kadhia hii ni kubonyeza Virgin Competiton that's all. Mnielewe hivyo waheshimiwa wote ..
R.I.P Madiba