Napendekeza simu zenye thamani ya zaidi ya milioni 1 zisajiliwe TRA na zipewe kadi kama za gari, hii itapunguza wizi wa simu

Kwa hiyo wakulindie simu yako ya milioni moja isiibiwe, kwa nini usiikatie bima kama unaona ina thamani kubwa.....
Ndio wanilindie kwa sababu nailipia kodi, au kodi kazi yake nini? Au hiyo bima ni bure?
 
Hata ukiassemble, lazima utafunga na mashine yake ambayo ndio ina IMEI, na haitafanya kazi unless iwe imetambulika na TRA ndio TCRA wairuhusu kufanya kazi, sasa una-assemble simu halafu haifanyi kazi, labda kama ni urembo.

hapo umechanganya kidogo.

IMEI sio kikwazo kusema ushindwe kutumia simu.labda kuripotiwa na kampuni labda zimeibiwa.

ukisema hivo nitashangaa maana napokea simu toka south africa,nairob na canada na zinafanya kazi
 
Ndio zinafanya kazi kwa sababu IMEI imeruhusiwa na TCRA, sasa ulitaka isifanye kazi kwani TCRA wameifungia?
 
Ndio zinafanya kazi kwa sababu IMEI imeruhusiwa na TCRA, sasa ulitaka isifanye kazi kwani TCRA wameifungia?

TCRA ishugulikii imei kwa kulipa kodi.

kuna idara ya umoja wa inazoshikilia nakala zote duniani kuzipa usajiri simu zote zitakazo zalishwa na viwanda na database itatolewa kila nchi !

sawa na passport unapopata basi dunia database yako kila ufikapo inajulikana
 
Naona wazo lako likikwapuliwa na Serikali hii...ila si kwa lengo la kuwasaidia wananchi kupata simu zao bali kujikusanyia mafweza lukuki km ilivo kweny Tozo za Miamala.
 
TCRA ishugulikii imei kwa kulipa kodi.

kuna idara ya umoja wa inazoshikilia nakala zote duniani kuzipa usajiri simu zote zitakazo zalishwa na viwanda na database itatolewa kila nchi !

sawa na passport unapopata basi dunia database yako kila ufikapo inajulikana
TCRA haiusiki na kodi ndio, ila kwa kushirikiana na TRA watafacilitate hilo. Kipindi cha kuzuia simu feki, TCRA (kwa kushirikiana na mitandao ya simu) walifungia IMEI zote ambazo ni fake duplicate, hivyo TCRA wanauwezo wa kufungia IMEI when and if needed kwa sababu yeyote. Mfano kwa simu feki waliweza kufungia, halikadhalika kwa simu ambayo haijalipiwa kodi TRA, watafungia wakihitajika.
 
Jiulize moja. Gari ikiibiwa, TRA wanahusikaje? Sio kazi ya TRA kusimamia simu kutoibiwa. Cha.msingi weka bima simu yako ili ikiibiwa au kupotea ulipwe.

Yan huu unyambafu ndiyo ctaki kuuckia,,,eti simu nikatie bima arafu kila mwaka niwe nailipia huku bado ikiwa mikononi mwangu. Na tra watakuwa malimbukeni wakuamini simu yako imepotea ili wakuripe ingine 😁
 
Kadi iwe na jina la mmiliki na taarifa zake zingine zote, na sehemu ya details ijazwe taarifa muhimu za simu kama IMEI, model, make, color na specification zingine zote. Pia pajazwe number of previous owners nk. nk.
Criteria gani itatumika kudetermine kwamba hii simu ni ya Milion Moja?? Maana gari ni easy kwa kuwa ni Kubwa, Na kuna utaratibu maalumu wa kuingiza gari na kutumia nchini. SImu kwa asili yake mtu anaweza akawa amepewa zawadi, au akaingia nayo kama vile anaitumia, etc sasa kwakuwa nyingi hazitakuwa na document za Purchase na information za value.

Ni idea yenye lengo zuri, lakini implementation yake haijanyooka kama ulivyoeleza.
 
Iphone 13plus inauzwa 3 mil +, ni criteria gani imetumika kujua hiyo bei?
 
Back
Top Bottom