JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,816
Wazo la kijinga sana. Yaani nchi iwe na watumishi wasio na uzoefu wa miaka 11 kazini?
Sasa hivi wapo wenye uzoefu hadi wa miaka 30, kipi cha tofauti sana?Wazo la kijinga sana. Yaani nchi iwe na watumishi wasio na uzoefu wa miaka 11 kazini?
Una matatizo gani na watumishi waliopo? Hukusoma kwa kutumia waalimu hawa hawa? Huko mahospitalini watu hawatibiwi kwa madaktari hawa hawa?Sasa hivi wapo wenye uzoefu hadi wa miaka 30, kipi cha tofauti sana?
kaka kesho nakutembelea kazini kwakoUna matatizo gani na watumishi waliopo? Hukusoma kwa kutumia waalimu hawa hawa? Huko mahospitalini watu hawatibiwi kwa madaktari hawa hawa?
Sasa imagine kila daktari akifikisha uzoefu wa miaka 10 usimpate tena mbadala wake awe new graduate wa kupata tena uzoefu naye in 10 years huyo hayupo.
10 years unahonga tu?2?Wazo la kijinga sana. Yaani nchi iwe na watumishi wasio na uzoefu wa miaka 11 kazini?
Karibu, ila si ofisi ya uma bosskaka kesho nakutembelea kazini kwako
kwani walioanza mwanzo, uzoefu walitolea wapi?10 years unahonga tu?2?
Umri wa kuishi umepungua sana yaani life span ya mtanzania ni miaka 45 kama sijakosea.Wanajukwaa,
Naomba kupendekeza ili kupambana na janga la ajira, kuanzia sasa watu wanaoajiriwa katika sekta za umma wafanye kazi for only 10 years then wastaafishwe watumie walichopata kujiajiri.
Hii itahakikisha kuwa nguvu mpya kutoka vyuoni inapata nafasi ya kutumikia taifa na kuongeza pia wigo wa ajira kutokana na biashara/taasisi watakazoanzisha wastaafu.
Naheshimu wazo lako lakini hili jambo haliwezekani.Wanajukwaa,
Naomba kupendekeza ili kupambana na janga la ajira, kuanzia sasa watu wanaoajiriwa katika sekta za umma wafanye kazi for only 10 years then wastaafishwe watumie walichopata kujiajiri.
Hii itahakikisha kuwa nguvu mpya kutoka vyuoni inapata nafasi ya kutumikia taifa na kuongeza pia wigo wa ajira kutokana na biashara/taasisi watakazoanzisha wastaafu.
Yaan out of no where with no reseaech or majaribio serikal iweke mfumo kama huo?Sisi tuwe ya kwanza
Kutakua hakuna masenior kazini kazi zitalipuliwa tu. alafu iyo cycle ikiisha itakuaje waludi kazinini au maana miaka 10 sio mingi. mimi sina ajira ila hii hapana