Napendekeza SGR isifike Rwanda

Mkuu hayo mapato ya Bandari tunayapata hata sasa kabla hiyo Reli haijaisha.hayo mapato ya Reli tutayapata pia hiyo reli ikiishia Mwanza na baada ya hapo waje wafate mizigo yao Mwanza ili kuikuza kanda ya ziwa

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app

Ukirahisisha huduma ndivyo mnunuzi atakavyo nunua/leta mapata zaidi. Kuna msemo unasema Sindano hununua mchele(mtu anahitaji sindano wewe mwenye duka huna kwahio hatonunua mchele kwako kwasababu anaona atabeba mzigo njiani) kwahio atanunua sindano kwanza halafu ndio anunue mchele hapo atakapo nunua sindano. Toa huduma zote nzuri ili wanunuzi wazidi

Lunatic
 
Dunia ina rahisisha mawasiliano na urahisi wa muingiliano wewe unapinga mkuu? Umeshafikiria faida tunazoweza kupata kupitia mradi huo au unaangalia hasara tu. Kwani mzigo ukichukuliwa Rwanda sisi tutapungukiwa na nini ikiwa umepitia kwetu na kama Kodi na mambo mengine tulishakata kwenye mizigo hiyo. Au mm ndiyo sielewi jaman
Ni kweli Brother dunia iko resi kurahisisha mawasiliano,muingiliano,nk ili kuifanya kuwa sehemu bora zaidi ya kuishi.Lakini linapokuja suala LA maslahi lazima tuchuje faida na hasara na kama hasara zitakuwa nyingi kuliko faida ni heri kutazama namna bora zaidi ya kufaidi kuliko kuingia kichwa kichwa sababu tumeona faida flani zinapatikana.Unafikiri kwann Viongozi wetu wanasua sua kujiunga tena ktk Jumuia ya Afrika Mashariki iliyovunjika mwanzo?

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
You are so right ....wanopinga Wakasome kitabu cha ujasusi wa kiuchumi na kidola cha Yeriko Nyerere
 
Ukikataa wewe(Tanzania)wenzako watakubali(Kenya),Kenya wana SGR km 480 kutoka Mombasa hadi Nairobi,ukiwakatalia SGR ya Tanzania isifike Rwanda wanaweza wakageukia SGR ya Kenya itoke Kenya,Uganda hadi Rwanda.Kuna njia nyingi za kunufaika tuangalie kwa upana zaidi.Nafikiri viongozi wetu wapambane na wawashawishi viongozi wa Rwanda,DRC na Burundi nao watengeneze reli kwao ili hiyo reli iunganishe Rwanda, Burundi na eneo lote la mashariki ya Congo ili tuwe na uhakika mkubwa wa kupitisha mizigo yote ya maeneo hayo.
Coalition of willingness waliamua kujenga SGR toka MSA hadi Kigali as we speak now Iyo SGR haijafika hata Naivasha ...UG na Rwanda wana misuguano yaki maslai binafsi naona kuna ugumu ktk ujenzi wa iyo SGR toka mombasa hadi Kigali...
 
You are so right ....wanopinga Wakasome kitabu cha ujasusi wa kiuchumi na kidola cha Yeriko Nyerere
Mkuu People can't see this in a third Eye's perceptions.. Mr Paka is very genius. Baada ya kuona kote kumeshindikana akajiokotea dodo katikati ya Bahi na Manyoni what a Lucky!??

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Coalition of willingness waliamua kujenga SGR toka MSA hadi Kigali as we speak now Iyo SGR haijafika hata Naivasha ...UG na Rwanda wana misuguano yaki maslai binafsi naona kuna ugumu ktk ujenzi wa iyo SGR toka mombasa hadi Kigali...
Bongo ni Mtakuja primary school.. Or Kisimani utakuja tu kuchota maji.Jiografia,Usalama,Ufupi wa safari nk nk inatufanya sisi tuwe Viranja wa huu ukanda kwa kupenda or bila kupenda.Wivu walionao hawa majirani hausemeki sema sie ni kama tusiojielewa tunashindwa kutumia nafasi tuliyopo kwa maslahi yetu.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kila mmoja anao huru wa kutoa maoni ili mradi havunji sheria za nchi,sikumbuki vizuri ila nadhani ni ibara ya 18 nadhani Wanasheria wajuzi mtanikumbusha.

Kupitia ibara hio kama Mtanzania,nashauri or napendekeza kuwa hii reli Mpya ya kisasa tunayojenga Standard Gauge Railways SGR isifike Rwanda kwa sababu zifuatazo:

a. Tunatumia gharama kubwa kuijenga huku wanufaika wakubwa wa hiyo reli watakuwa Rwanda mana wao watakuwa kama bandari kavu mizigo,mizigo yote itakayokuwa inatoka bandarini kwetu kituo kikuu cha kikanda kitakuwa Rwanda mana ndiko kutakuwa mwisho wa reli.

b. Mizigo yote itakayokuwa inaagizwa na Nchi zinazotuzunguka kama Congo,Rwanda,Zambia,Uganda nk kituo chao kikuu cha kuchukulia mizigo hiyo kitakuwa Rwanda so tutakosa mapato yatokanayo na wao kuja kwetu kama kituo cha biashara ukitoa kodi pekee ya kusafirisha mizigo yao.

c. Hii SGR ikiishia Mwanza tutainua kanda ya Ziwa kuwa kitovu cha biashara ukanda wa nchi za Maziwa makuu tofauti na sasa endapo tukifanya kosa la kuipeleka Rwanda.

d. Rwanda ni kaNchi kadogo kama hii SGR ni lazima itoke nje ya nchi yetu basi tuipeleke Congo DR ambapo ile ni nchi kubwa na hata biashara yake pia itakuwa kubwa.

e. Eneo ambalo SGR inapita ktk Nchi yetu ni kubwa na bila shaka hata fedha zitumikazo ni nyingi ukilinganisha na Eneo ambalo Rwanda watajenga ktk Nchi yao.So kufanikisha hili ni kujikaanga sisi wenyewe kwa mafuta yetu wenyewe.

Asante mimi kama mzalendo nina hayo tu nakaribisha mawazo mbadala ya kuniProve Wrong.
Wajuvi
 
Ka nchi kama Mkoa unakepelekea SGR this is poor planning
Absolutely Mkuu.. Tunaiacha Congo DR yenye population yakutosha,area yakutosha,surrounding countries na Congo DR Kama Zambia,Angola,Congo Brazzaville, nk nk tunakapelekea kanchi hadi kakaibe madini Congo ndio kapate hela..sidhani kama tuko serious..

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kila mmoja anao huru wa kutoa maoni ili mradi havunji sheria za nchi,sikumbuki vizuri ila nadhani ni ibara ya 18 nadhani Wanasheria wajuzi mtanikumbusha.

Kupitia ibara hio kama Mtanzania,nashauri or napendekeza kuwa hii reli Mpya ya kisasa tunayojenga Standard Gauge Railways SGR isifike Rwanda kwa sababu zifuatazo:

a. Tunatumia gharama kubwa kuijenga huku wanufaika wakubwa wa hiyo reli watakuwa Rwanda mana wao watakuwa kama bandari kavu mizigo,mizigo yote itakayokuwa inatoka bandarini kwetu kituo kikuu cha kikanda kitakuwa Rwanda mana ndiko kutakuwa mwisho wa reli.

b. Mizigo yote itakayokuwa inaagizwa na Nchi zinazotuzunguka kama Congo,Rwanda,Zambia,Uganda nk kituo chao kikuu cha kuchukulia mizigo hiyo kitakuwa Rwanda so tutakosa mapato yatokanayo na wao kuja kwetu kama kituo cha biashara ukitoa kodi pekee ya kusafirisha mizigo yao.

c. Hii SGR ikiishia Mwanza tutainua kanda ya Ziwa kuwa kitovu cha biashara ukanda wa nchi za Maziwa makuu tofauti na sasa endapo tukifanya kosa la kuipeleka Rwanda.

d. Rwanda ni kaNchi kadogo kama hii SGR ni lazima itoke nje ya nchi yetu basi tuipeleke Congo DR ambapo ile ni nchi kubwa na hata biashara yake pia itakuwa kubwa.

e. Eneo ambalo SGR inapita ktk Nchi yetu ni kubwa na bila shaka hata fedha zitumikazo ni nyingi ukilinganisha na Eneo ambalo Rwanda watajenga ktk Nchi yao.So kufanikisha hili ni kujikaanga sisi wenyewe kwa mafuta yetu wenyewe.

Asante mimi kama mzalendo nina hayo tu nakaribisha mawazo mbadala ya kuniProve Wrong.
Kwenye biashara hakuna hayo unayosema. Hata Marekani wenyewe wanaojiita walimu wa demokrasia huwa wanafanya biashara na yeyote bila kujali hizo haki zako za ndotoni.
 
Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kila mmoja anao huru wa kutoa maoni ili mradi havunji sheria za nchi,sikumbuki vizuri ila nadhani ni ibara ya 18 nadhani Wanasheria wajuzi mtanikumbusha.

Kupitia ibara hio kama Mtanzania,nashauri or napendekeza kuwa hii reli Mpya ya kisasa tunayojenga Standard Gauge Railways SGR isifike Rwanda kwa sababu zifuatazo:

a. Tunatumia gharama kubwa kuijenga huku wanufaika wakubwa wa hiyo reli watakuwa Rwanda mana wao watakuwa kama bandari kavu mizigo,mizigo yote itakayokuwa inatoka bandarini kwetu kituo kikuu cha kikanda kitakuwa Rwanda mana ndiko kutakuwa mwisho wa reli.

b. Mizigo yote itakayokuwa inaagizwa na Nchi zinazotuzunguka kama Congo,Rwanda,Zambia,Uganda nk kituo chao kikuu cha kuchukulia mizigo hiyo kitakuwa Rwanda so tutakosa mapato yatokanayo na wao kuja kwetu kama kituo cha biashara ukitoa kodi pekee ya kusafirisha mizigo yao.

c. Hii SGR ikiishia Mwanza tutainua kanda ya Ziwa kuwa kitovu cha biashara ukanda wa nchi za Maziwa makuu tofauti na sasa endapo tukifanya kosa la kuipeleka Rwanda.

d. Rwanda ni kaNchi kadogo kama hii SGR ni lazima itoke nje ya nchi yetu basi tuipeleke Congo DR ambapo ile ni nchi kubwa na hata biashara yake pia itakuwa kubwa.

e. Eneo ambalo SGR inapita ktk Nchi yetu ni kubwa na bila shaka hata fedha zitumikazo ni nyingi ukilinganisha na Eneo ambalo Rwanda watajenga ktk Nchi yao.So kufanikisha hili ni kujikaanga sisi wenyewe kwa mafuta yetu wenyewe.

Asante mimi kama mzalendo nina hayo tu nakaribisha mawazo mbadala ya kuniProve Wrong.
ahhahahaha..kweli sometimes chuki huondoa maarifa,mizigo ya zambia itaendaje rwanda??ahahaha au unafikiri hii project walioipitisha hawa kufikiria vizuri au hawajui wanalo lifanya?
 
Back
Top Bottom