Napendekeza route mpya Mbezi Luis - Bunju

Wadau natumaini kuwa ni wazima wa afya.

Kituo cha daladala Mbezi-Luis ni katika vituo vikubwa vinavyounganisha maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam.

Cha kushangaza hakuna daladala za moja kwa moja Mbezi Luis-Bunju, hali inayowapa ugumu wakazi wa Kunduchi, Mbezi Beach, Tegeta na Bunju kuwafanya waunganishe magari hivyo nauli kuwa kubwa na usumbufu kuongezeka.

Napendekeza kuanzishwa kwa route hii mpya.
TANROAD wanapaswa wahakikishe kituo cha kimataifa cha mabasi, Magufuli bus terminal kinafikika kwa haraka na kwa wakati kutoka kila kona ya Jiji.
TANROADS Pia wanapaswa wafuatilie kwa karibu ujenzi wa barabara inayo endelea kujengwa kutokea kimara mwisho mpaka kibaha njia 6/8, vituo vya daladala havieleweki/havipo wala hakuna vibao.
mfano unapo toka mbezi Luis kwenda kituo kikubwa cha polisi gogoni unajikuta unashushiwa Kibamba kisha unatembea kwa miguu hadi kituoni.
hivi kuna utaratibu gani ktk maeneo hayo maana hakuna miundombinu ya kituo rasmi cha daladala.
 
LATRA..TUNAWASIHI ..HII ROUTE NI MUHIMU SANA MBEZI LOUIS-MABWEPANDE-BUNJU B

MBUNGE WETU MSIKIVU TUSAIDIE HARAKA NA PIA TUWEKEE LAMI..MAANA HIYO BARA BARA NI MBOVU SANA INA VUMBI KIBAO
 
Busara tu ya kawaida inaelekeza barabara hii ni kiungo muhimu(core by-pass) cha mkoa wa DSM, kukatisha kaskazini hadi kusini, ikiunganishwa na Mbezi hadi Gongo la mboto, Temeke na Mbagala yote.
 
Hatimaye route imeanza japo imeishia Tegeta Nyuki kupitia Madale, Njia nne itapunguza sana msongamano wa Mbezi Beach Shule.
 
Hakika Jana nilikwenda kitengule hospital niliziona gari za mbezi -tegeta
 
Shortest route ni mbezi -mpiji Magoe- mabwepande- Bunju ni 21km wakati nia ya mzunguko ni 37.8km
 
Nineona juzi root ya mbezi-mmazi mmoja kupitia maji chumvi.yaani linatoka mbezi hadi mataa ya bucher hii kimara linageiza hadi korongwe pale linaingia kushoto linaenda tokea mataa ya exiternal kule mbele ya riverside
 
Back
Top Bottom