Napendekeza Profesa Baregu awe Spika wa Bunge lijalo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,571
217,930
Wakuu natanguliza salamu,

Ni ukweli usiopingika kwamba UKAWA itashinda viti vingi zaidi vya ubunge, hivyo inastahili kuongoza bunge. Mwana UKAWA muungwana, msomi na mvumilivu ninayemfahamu mimi ni Profesa Baregu. Nampendekeza achukue kiti cha spika.

Nakaribisha maoni kutoka kwa wadau wengine wa UKAWA
 
wakati wao umekwisha , wana UKAWA anzeni kujipanga kuchukua nafasi mbalimbali ili kuipeleka nchi hii panapostahili.
 
Profesa Baregu aliendewa na mwenyekiti wa CHADEMA, Freema Mbowe, akamwambia Profesa Baregu Lowassa ni Fisadi Profesa Baregu akasema NDIYOOOO.

Baada ya muda mfupi Freeman Mbowe akamwendea tena Profesa Baregu akamwambia, Profesa unajua Lowassa sio fisadi. Profesa Baregu akasema NDIYOOOO!

Profesa gani anayeweza yumbishwa? Uspika atauweza vipi mtu wa ndiyoooo kama huyo.
 
Nani amewadanganya? Mtaishia kusikia harufu ya pilau tu lkn kula hamtakula ng‘oo
 
Profesa Baregu aliendewa na form six failure mwenyekiti wa CHADEMA Freema Mbowe akamwambia Profesa Baregu Lowasa ni Fisadi Profesa Baregu akasema NDIYOOOO.

Baada ya muda mfupi Form six failure Freeman Mbowe akamwendea tena Profesa Baregu akamwambia Profesa unajua Lowasa sio fisadi.Profesa Baregu akasema NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!

Profesa gani anayeweza yumbishwa na form six failure.Uspika atauweza vipi mtu wa ndiyoooooooooo kama huyo.

Ata mimi namshaka sana na Mr Kidevu eti wanasema ni Dr wakati ata raisi wa Kuwait anatwambia ni Saddam!!pia wakati wa kupiga push up anaweka makalio juu wakati haitakiwi ata kidogo anatakiwa kunyooka,mwonyesheni Push ups za wenzake...CCM OUT
 
Attachments

  • 1443619629249.jpg
    1443619629249.jpg
    54.7 KB · Views: 30
Nani amewadanganya? Mtaishia kusikia harufu ya pilau tu lkn kula hamtakula ng‘oo
hata tajiri anapofirisika huwa hajistukii , anashangaa tu mara kanywa chai ya rangi mara kala mihogo mikavu !
 
Profesa Baregu aliendewa na mwenyekiti wa CHADEMA, Freema Mbowe, akamwambia Profesa Baregu Lowassa ni Fisadi Profesa Baregu akasema NDIYOOOO.

Baada ya muda mfupi Freeman Mbowe akamwendea tena Profesa Baregu akamwambia, Profesa unajua Lowassa sio fisadi. Profesa Baregu akasema NDIYOOOO!

Profesa gani anayeweza yumbishwa? Uspika atauweza vipi mtu wa ndiyoooo kama huyo.
haya , asante mkuu .
 
Back
Top Bottom