Napendekeza Mwanri aje Morogoro na Kebwe aende Tabora

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,772
2,032
Wanajukwaa,husikeni na pendekezo tajwa hapo juu.

Kwa kuwa Mwanri ni mtaalamu aliyebobea kuhandle mambo ya ujanja ujanja na kusawazisha mambo.

Pia ikumbukwe kuwa Rc Mwanri ni RC pekee anayeweza kusoma alama za nyakati na kuendana nazo,achilia mbali kuwa yeye ni born town kitambo pamoja na kwamba ametokea milimani Kilimanjaro.

Mkoa wa Morogoro ni mkoa wenye fursa Sana, na ni mkoa wenye waswahili wengi Sana (wajanja wajanja),unahitaji RC aina ya Mwanri ili mambo yakae vizuri. Amini usiamini Morogoro ikikusanya vzr mapato yake hakuna mkoa wa kuusogelea kimapato.

Lakini pia ni mkoa wenye changamoto ya upatikanaji wa maji ya kunywa hususani manspaa Morogoro pamoja na kwamba vyanzo vya maji vimezunguka pande zote.

Naomba kupendekeza.
 
Bashite anajifanya mbunifu nashauri aende Rukwa akabuni mkoa upate Maendeleo
 
Mwacheni Mwanri apige kazi Tabora,sasahivi kuna 'Fukua Fukua' ya wezi tayari mchungaji mmoja na diwani wameshafukuliwa kwa wizi.

Mchukueni Chalamila au Bashite si mnataka waropokaji.
 
Tabora pamenyooka aje anyooshe na Morogoro
 
Wanajukwaa,husikeni na pendekezo tajwa hapo juu.

Kwa kuwa Mwanri ni mtaalamu aliyebobea kuhandle mambo ya ujanja ujanja na kusawazisha mambo.

Pia ikumbukwe kuwa Rc Mwanri ni RC pekee anayeweza kusoma alama za nyakati na kuendana nazo,achilia mbali kuwa yeye ni born town kitambo pamoja na kwamba ametokea milimani Kilimanjaro.

Mkoa wa Morogoro ni mkoa wenye fursa Sana, na ni mkoa wenye waswahili wengi Sana (wajanja wajanja),unahitaji RC aina ya Mwanri ili mambo yakae vizuri. Amini usiamini Morogoro ikikusanya vzr mapato yake hakuna mkoa wa kuusogelea kimapato.

Lakini pia ni mkoa wenye changamoto ya upatikanaji wa maji ya kunywa hususani manspaa Morogoro pamoja na kwamba vyanzo vya maji vimezunguka pande zote.

Naomba kupendekeza.

Mkoa WA Morogoro unahitaji viongozi wanaijielewa na wenye misimamon sahihi isiyoyumba wala kuyumbishwa na rushwa. Morogoro wala haihitaji Watu wapiga mipasho ya Kisiasa.

Morogoro inahitaji Watu wenye msimamo thabiti, ya kupambana na RUSHWA, pamoja na misimamo ya kuwaumbua wapiga madili ya Rushwa hadharani.
Mimi binafsi napendekeza kuwa Bwana WILLIAM LUKUVI ndiye ateuliwe kwenda kuongoza mkoa huo akiwa kama Mkuu WA Mkoa. Wakuu wote wa Wilaya ktk mkoa huo pia wawe jamii ya William Lukuvi,

Mtu mwingine ambaye Mhe. Rais Magufuli anaweza kumfikiria kumteua ili kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ni Bi. Sipora J. Liana,

KWA kifupi, mkoa wa Morogoro unahitaji viongozi WATATA , WASIOKUBALI KUDANGANYWA WALA KURUBUNIWA KIRAHISI RAHISI NA WAPIGA MADILI.

KWA hiyo Rais Magufuli anatakiwa kuwateua WATU WATATA kama alivyo yeye mwenyewe Rais ili waende kuongoza ktk mkoa wa Morogoro.
 
Back
Top Bottom