Napendekeza mtu huyu akamatwe na kunyongwa kwa kosa hili

[QUOTE="Joseverest, post: 21561690, member: 1 watimuliwe kabisa hapa nchini na kampuni yao kabisa...[/QUOTE]
Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe ,wewe ni roll model wangu the fastest comenter ever ubarikiwe sana mkuu
 
Ni hatari sana..hili jinamizi ni la mda mrefu na lina chain ndefu saana ya wapigaji,sio mtu mmoja..ni wizara na taasis zake zinahusika kwa uwazu kabisa,haihitaji kuwa msomi kunusa huu uozo,inawezekana kabisa walipata baraka kutoka "juu"..haiwezekani pesa nyingi kiasi hiki zikapigwa bila mkulu kujua,ndio mana huwa naamini,ili Tz iendelelee,dude fisiem lizikwe kwanza,ni genge la wezi wapiga dili...wasiokuwa na uchungu na maisha ya mtu wa chini...hatari sana.
Mkuu umezungumza vyema lakini unapokuja kwenye swala la vyama nafikiri huko ni kupana sana, sababu kote wapigaji hawakosekani mi nafikiri kwa maslahi ya taifa inapendeza kusapoti kaz za wazalendo wa kweli pasi na kujali itikadi za vyama
 
Hii nchi inapaswa kuongozwa kwa Torati au Sharia. In sha Allah tutafikia malengo. Hon. Magufuri be blessed.
 
UPDATE: Rais JPM ameagiza mawaziri waliohusika na utiaji saini mikataba ya kinyonyaji ya madini iliyopelekea upotevu wa matrillioni washughulikiwe kwa mujibu wa sheria. Waziri mwenyewe ndio huyo Daniel Yona anaetajwa kwenye hiyo document. Kwakuwa pia amehusika kulitia hasara taifa kupitia IPTL, nazidi kutilia mkazo anyongwe kwa makosa yote mawili
 
View attachment 522359

Kumbe toka 2004 tulikuwa tuna haki ya kimkataba ya kuachana na hili jinamizi, lakini mtu anapendekeza kutuhonga punguzo la Capacity Charges toka billioni 5.2 mpaka billioni 2.6 ili tusiitumie ile haki yetu ya kimkataba ya kuachana nao, kwakuwa mpaka leo hawa IPTL wapo, inamaana huyo alieombwa alikubali kwa maslahi yake binafsi badala ya kuangalia utaifa. Sasa huyo alieomba na huyo alieombwa, wanyongwe wote kwa presidential decree.

=====================================
UPDATE: Rais JPM ameagiza mawaziri waliohusika na utiaji saini mikataba ya kinyonyaji ya madini na ACACIA iliyopelekea upotevu wa matrillioni washughulikiwe kwa mujibu wa sheria. Waziri mwenyewe ndio huyo Daniel Yona anaetajwa kwenye hiyo document. Kwakuwa pia amehusika kulitia hasara taifa kupitia IPTL, nazidi kutilia mkazo anyongwe kwa makosa yote mawili
na aliye zindua kivuko dar bagamoyo naye ahojiwe.
 
D u u u !
Huyu muheshimiwa.kapiga pesa kweli kweli, lakini wapo wengi hawa Mrukufu rais atawaweza poke yaķe?
 
View attachment 522359

Kumbe toka 2004 tulikuwa tuna haki ya kimkataba ya kuachana na hili jinamizi, lakini mtu anapendekeza kutuhonga punguzo la Capacity Charges toka billioni 5.2 mpaka billioni 2.6 ili tusiitumie ile haki yetu ya kimkataba ya kuachana nao, kwakuwa mpaka leo hawa IPTL wapo, inamaana huyo alieombwa alikubali kwa maslahi yake binafsi badala ya kuangalia utaifa. Sasa huyo alieomba na huyo alieombwa, wanyongwe wote kwa presidential decree.

=====================================
UPDATE: Rais JPM ameagiza mawaziri waliohusika na utiaji saini mikataba ya kinyonyaji ya madini na ACACIA iliyopelekea upotevu wa matrillioni washughulikiwe kwa mujibu wa sheria. Waziri mwenyewe ndio huyo Daniel Yona anaetajwa kwenye hiyo document. Kwakuwa pia amehusika kulitia hasara taifa kupitia IPTL, nazidi kutilia mkazo anyongwe kwa makosa yote mawili
huu ni inafiki tuu...huwezi kutenganisha maamuzi ya waziri na rais aliyemteua...huwezi kamwe...maamuzi ya majaliwa yatofautiane na ya magufuli! nazani nimeeleweka
 
Back
Top Bottom