vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 420
Kuna tabia imeibuka kwa viongozi wanaomzunguka mkuu wa nchi kutaka kuaminisha umma kuwa Rais wetu sio binadam wa kawaida na hayuko ktk viwango vya ubinadamu ila ni mtakatifu au yuko ktk daraja la malaika nimapendekezo yangu Kuwa ni muda muafaka wa Rais kutambuliwa kama Mtakatifu ili tuzoee neno utakatifu kwa hii miaka kumi nawasalisha@ vevenononombo 2016