Napendekeza Mange Kimambi agombee urais mwaka 2020

Hayo ya "akiwa..atabadilika" ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo.

Ndiyo yaliyotufanya kumchagua Magufuli kwa kuwa tuliamini atabadilika (soma utabiri wa paschal mayala).


Kwa bahati mbaya zaidi, ndiyo wanachotaka kutuaminisha CHADEMA (hii mada ya wakati mwingine).

Tunataka tuone morality yako ya sasa ndipo tujue uwezo wako wa kutongoza.
....kama Luwassa alivyoingia chadema na kubadilika baada ya kusafishwa !
 
Hata awe na mashabiki dunia nzima uyu mtu hana uzalendo hata 0 hana yan sijui yupo kundi lipi,hana kigezo hata ki1 cha kupewa urais,yan nyie hamtutakii mema tumpe nchi akatuuze America.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom