.....ni Da Mange !Tunamwitaga Dr mange
Mange hajawahi ukawa wala chadema.hahahahahaha... mange abaki kuwa mshauri wa chadema na ukawa kwa ujumla. hiyo nafasi imemfaa sana
....kama Luwassa alivyoingia chadema na kubadilika baada ya kusafishwa !Hayo ya "akiwa..atabadilika" ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo.
Ndiyo yaliyotufanya kumchagua Magufuli kwa kuwa tuliamini atabadilika (soma utabiri wa paschal mayala).
Kwa bahati mbaya zaidi, ndiyo wanachotaka kutuaminisha CHADEMA (hii mada ya wakati mwingine).
Tunataka tuone morality yako ya sasa ndipo tujue uwezo wako wa kutongoza.
hapna kwa sasa Mange ana influency kubwa kuliko mtu yeyote hapa Tanzania. Na kwa Tanzania ya sasa Mange ndio chaguo sahihi kabisa
....kama Luwassa alivyoingia chadema na kubadilika baada ya kusafishwa !